Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Ukitika kuoga ukilowana ashua pangusa na kitambaa pakauke safi the paka poda ili panyauke jitahdhi sana kufanya hvyo tatizo litaisha ila ukioga jitahd kukausha sehemu za siri
 
dawa zote zime ainishwa hapo juu kitu cha kuongeze hakikisha pind unapotoka kuoga ufute pumbu likauke kau hata ukipaka dawa jiachie kama dakika kazaa pumbu zipate hewa usiruhusu kukaa na unyev nyev boss hata style zako za kukaa jiachie ili hewa ipulize scrotum izo usipake dawa na ku bana miguu io bado utaleta unyev nyev tena ikibid washa na feni jiachie kbsa boss ilinisaidia enz izo 4m 6
 
Tafuta dondora (nyigu)
Mweke pale, mbane na mikono asiondoke subiri dakika 5 hivi!
Fangasi hazitakusumbua tena!
 
Dawa ya kudumu ni kuacha kabisa kutumia taulo, au kama ukiamua kuendelea kulitumia lazima uhakikishe kuwa unalianika nje kila linapotumika. Ila nakushauri usilitumie kabisa tumia kanga tuu.
Hzo dawa njengine ni za muda tuu.
Nikweli mwenyewe sasaivi situmii tena taulo asee
 
Jf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano
Tulia kijana, hii kitu ishatolewa ufafanuzi hapa na sie wajanja huwa hatukulianzishia uzi, zaidi tulilitafuta na tukajipatia tiba ya bei ndogo kuliko ya milele naweza nasema hivyo, maana ilo tatizo lilikua sugu lakini sasa ni history

Nenda duka la dawa kanunue seprine za 1000 then nunua mafuta baby care ndogo kuliko zote

Saga ile seprine yote iwe unga uchanganye na baby care

Anza kupata
 
Sawa mkuu
 
Saga Tangawizi mbichi(ginger)
Changanya pamoja na ndimu
Mchanganyiko huu kunywa
Kidogo na nyengine paka sehemu iliyoathiriwa unaweza
Pia kuongeza asali mbichi ya nyuki iliyo safi mtumizi kisia
Mwenyewe tu
Haina madhara nichakula na inatibu doz siku 21 isipunguwe
Maratatu kwa siku Rejesha shukrani zetu pindi ukipona
Mkuu
Dah.... Kuna MTU alikuja na formula hii akidai in dawa ya "nguvu"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom