Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Mkuu uwo ugonjwa ulikuwa maarufu sec pumbu 500. Ni nouma zaga lina washa laana ukikuna ndo raha yake..kupiga gitaa...jokes
Kwanza nku sahishe mkojo kuwa wa njano hyo syo sababu ya fangas . Mkojo asili yake ni rangi ya njano (Amber)
Fangas ya kwnye ngoz superficial mycosis yaweza sababishwa na uvaaji wa nguo mbichi, ku share nguo, na uses of antbiotic kupindukia lakini hii ni less corses.

Diagnosis. Kuna test tuna iita KOH una kanguliwa huo unga unao toka alafu unafanyiwa test lab either culture au wet preparation.

Treatment. Zipo dawa nying ila kwa ushauri mzuri tumia fluconazole cream or whitefield oitment or clotrimazole cream apply b/d 7/7. Baada ya kuoga.
 
We
Angetusaidia "waganda nao wangelalama ivyo ivyo" hapa hakuna kulaumiana mzee,,,in short GADAFI huwezi mlinganisha na miraisi yetu.
Ni kweli kwa ubaya uluopitiliza huwezi kulinganisha
pole sana ndugu yngu huo ugonjwa ni mbaya sana unasumbua sana wanafunzi hasa wale ambao wanakaa boarding na unasababishwa na 1.kuvaa nguo zinazo bana kwa muda mrefu hasa wakati wa joto 2.kuchangia nguo na watu ambao n waathilika wa ugonjwa huo na hata kuchangia vifaa kma sabuni ,ndoo na mabeseni wakati wa kuoga ,taulo nk nakushauli nduguyangu dawa ya kutibu haraka ni kunyunyuzia poda pia kujiepusha na kushare vitu na watu.ugua pole
We, li mtu ni mwongo sana sijui ulisomea wapi huo uwongo.
 
chuma majani ya mchunga kwa wale watu wa pwani ni mboga kisha twanga then weka maji ya vuguvugu na baada ya hapo utakunywa vijko 3 na kupaka sehem zilizo athiri mara tatu kutwa na utapona kabisa
 
Kuwa makin mjomba,hao wanaharib mfumo wa uzaz,usijeshangaa unashindwa pata mtoto,wah haraka hospital
 
Hahah,nakumbuka kipind niko boarding o level,..hyo pumbu erosion tulikua tunaita PUMBULIELE,hahahahahah
 
Mkuu kanunue white field ile ya kopo......

Paka mara mbili kwa siku baada ya kuoga afu rudi hapa ulete mrejesho mkuu....
 
Dawa ya kudumu ni kuacha kabisa kutumia taulo, au kama ukiamua kuendelea kulitumia lazima uhakikishe kuwa unalianika nje kila linapotumika. Ila nakushauri usilitumie kabisa tumia kanga tuu.
Hzo dawa njengine ni za muda tuu.
Kwanini kanga mkuu na sio taulo naomba ufafanuzi
 
Umenikumbusha miaka kadhaa iliyopita pale Pugu Sekondari , hilo lilikuwa ni janga letu la kudumu. White field ilikuwa ndiyo kimbilio letu.
 
Mkuu nilipata tatizo kama lako, mimi lilinipata kwenye dushe, nikaamua kwenda hospitali wakanipa dawa na kuniambia sio ugonjwa wa zinaa ila ukikutana na mwenza ambaye sio msafi anaweza kukuletea fangasi.

Nilitumia dawa za hospitali bila mafanikio, kama ilikuwa inazidi, bahati nikawa nasoma sana google.

Nikaona sehemu wanayasifia sana mafuta ya nazi, wakasema ni tiba ni kubwa, wiki tu nikapona kabisa kabisa.
Naunga mkono hoja hapa, am the witness. Mimi zilikuwaga fangasi za miguu katkat ya vidole...Mafuta ya Nazi yaani asikwambie mtu hasa Yale ya asili yaani ya kutengeneza mwenyewe kienyeji (locally), unakuna Nazi kisha tui lake unapika mwenyewe ili upate mafuta yake
 
Naunga mkono hoja hapa, am the witness. Mimi zilikuwaga fangasi za miguu katkat ya vidole...Mafuta ya Nazi yaani asikwambie mtu hasa Yale ya asili yaani ya kutengeneza mwenyewe kienyeji (locally), unakuna Nazi kisha tui lake unapika mwenyewe ili upate mafuta yake
Ni mwisho wa matatizo mkuu, yaani kuna kitu kinaweza kusumbua lakini dawa yake hata hutegemei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom