Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Au mnaziitaje jamani mm nazifahamu koro, turudini katika mada jamani kwa kizungu wanaziita colostrum
 
Habari.
natafuta tiba mbadala ya fangasi ukeni.
maana kwa mwaka naweza umwa zaidi ya mara 10..
nmepewa sindano za Cetriaxone kama week3 zilizopita na Metro ila zimerudi tena..

huwa zinaambatana na .U.T.I
nmeshawahi kutumia cipro, flucan g150/200
dox nmetumia pia..

sasa jamani kwa anaejua dokta wa tiba mbadala na garama zake anipe namba zake!
maana huwa inaathiri mzunguko wa siku zangu za hedhi...
mkuu..vipi ulipona hii kitu?
 
Habari zenu wakuu
  1. Mimi ni msichana mwenye miaka 20,week iliyopita jumatatu nilienda hindumandal nikapima UTI ,kwasababu nilikuwa nawashwa na nikikojoa naumia na kingne hata nikitembea naumia yaan ilikuwa kma nina vidonda vinauma yaan hasa usiku,nikapewa fluderm na gynozol vidonge vya kuweka chini,sasa baada ya kumeza dose nikaacha kuwashwa lakini nikawa bado naumia nikikojoa and vile vidonge vya kuweka chini vilikuwa vinaniumiza sana na baada ya dose vidonda vikawa vinazd,nikarud hosptal wakanipa dawa ya kukausha vidonge ambavyo ni vile antibiotic,lakini dose nmemaliza jana asubuhi sasa bado nikikojoa naumia mbna,yaan inaonekana kma bado ninakidonda au kuna kidonda kinaanza tena,nitumie dawa gani ndo nitaacha kuumia hvi ?wakuu naombeni mniisaidie
 
Mara ya mwisho lini kusex???isije kuwa gono
 
Kuwashwa korodan kunaitwa kwa kiswahili..pumbu joto.. ni infection,nenda hospital utapata tiba.
 
Tatizo lafangasi linamsumbua sana Mke Wa rafiki yangu nanimjamzito sijui kutakua na tatizo wadau
mmh mke wa rafiki yako wewe umejuaje
kuna dawa nzuri kwa ajili ya fungus kwa wanawake ila tu tatizo ni mjamzito ni contraindicated kwa wanawake wajawazito
 
Wakuu. Habar naombeni msaada Dawa ya kubabuka sehem za siri kwa wanawake na wanaume na jinsi ya kuzuia tatizo hilo
 
Wamaasai kule arusha wanayo dawa ya mti fulani,ule utonvu wake ni tiba tosha ndani ya siku mbili umeshaanza kuona matokeo yake,kweli ni dawa nzuri sana. Ukifika arusha stand ya mabasi ya mkoani nenda mpk chin ya mti si mbali na hapo standi,ukifika hapo kuna maduka yapo karibu na idara ya maji kwa juu hivi,ulizia vibanda/maduka ya maasai wanauza dawa za miti shamba jieleze kwa hao maasai watakupatia dawa hiyo tena kwa bei nafuu sana kwa tiba nzuri tu.
 
DAWA YA FANGASI

Jamani mwenzenu nina hili tatizo nitaliondoa vipi
f0ca7d542d04a4e2fd63f429a662b971.jpg
 
JF DOCTOR HABARI PAMOJA NA WADAU KWA UJUMLA... MIMI NASUMBULIWA NA VINYAMA NYAMA VIMEOTA SEHEMU YA SIRI KWENYE PACHUPACHU NA HAVIWASHI HATA KIDOGO JE, TATIZO/UGONJWA GANI HUU, NA TIBA YAKE JE?

TAFADHALI NAHITAJI MSAADA WENU WA HARAKA.
 
Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom