Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Kuna jamaa alipat pumbu erosion Pugu sec . Akaona akomeshe kwa kuweka conc sulphiric Acid,, alipiga kelele mpaka ikabidi alale kifo cha mende wanafunzi wenzake wapulize na ungo mpaka maumivu yaishe.. baada ya hapo pumbu erosion kwish ahabari yaje.. na wewe jaribu mkuu...
 
Pole sana Mzee baba, Ila nimeshindwa kujizuia kucheka kwa jinsi ulivyowaslisha, Ila itabidi umwone daktari, dahh!!! Itabidi wakukabidhi kipaza sauti ujifanye unashusha mistari kumbe unayakuna kiaina
 
Salaam waungwana

ndugu waungwana nimepatwa na ugonjwa wa ajabu ambao unanikosesha raha mpaka sasa,
hivi niandikapo naandika kwa shida,

siujui unaitwaje huu ugonjwa mimi nimeubatiza nauita pumbukavu kusudio la kusema hapa ni kupata ushauri ni dawa gani naweza kutumia ili niondokane na haya madhila, maana kuna dawa ninatumia sijaona mafanikio ,

Dah ugonjwa wenyewe ni pumbu zinakuwa kavu papo hapo zinawasha kupita maelezo na zinanyorodoka kama pumbu za mzee vile,

Imekuwa ni aibu hata kusimama mbele za watu maana kila ukikuna ndio kama umeziruhusu kubadilisha rythim ya ukali nisiwafiche kwa huu utamu nimeutafutia kibumvi
sababu kucha sina kwa ajili ya huu utamu

lakini waswahili wanasema penye utamu ndipo penye madhara,naomba mnisaidie

Nimekuwa kama mwanamuziki wa kufoka foka kila wakati kushika mbeleni bado kupewa kipaza sauti nimwage mistari

Yaani ni aibu hata shemeji yenu sina hamu nae tena

Naomba mnisaidie ushauri maana mficha maradhi mauti humuumbua

Nasubir ushauri wenu
H ah ha ha hhah ha hha ha

unachekesha wanajamvi wewe
 
Pole sana Mzee baba, Ila nimeshindwa kujizuia kucheka kwa jinsi ulivyowaslisha, Ila itabidi umwone daktari, dahh!!! Itabidi wakukabidhi kipaza sauti ujifanye unashusha mistari kumbe unayakuna kiaina
daaa mwanangu hii kitu simchezo
inabidi uzunge kimtindo wa kufoka
 
Hao ni fungus

Tafuta dawa ziko nyingi sana pharmacy

Wale Pugu boys na Minaki boys hawapati shida juu ya hilo maana wana experience nalo
 
Salaam waungwana

ndugu waungwana nimepatwa na ugonjwa wa ajabu ambao unanikosesha raha mpaka sasa,
hivi niandikapo naandika kwa shida,

siujui unaitwaje huu ugonjwa mimi nimeubatiza nauita pumbukavu kusudio la kusema hapa ni kupata ushauri ni dawa gani naweza kutumia ili niondokane na haya madhila, maana kuna dawa ninatumia sijaona mafanikio ,

Dah ugonjwa wenyewe ni pumbu zinakuwa kavu papo hapo zinawasha kupita maelezo na zinanyorodoka kama pumbu za mzee vile,

Imekuwa ni aibu hata kusimama mbele za watu maana kila ukikuna ndio kama umeziruhusu kubadilisha rythim ya ukali nisiwafiche kwa huu utamu nimeutafutia kibumvi
sababu kucha sina kwa ajili ya huu utamu

lakini waswahili wanasema penye utamu ndipo penye madhara,naomba mnisaidie

Nimekuwa kama mwanamuziki wa kufoka foka kila wakati kushika mbeleni bado kupewa kipaza sauti nimwage mistari

Yaani ni aibu hata shemeji yenu sina hamu nae tena

Naomba mnisaidie ushauri maana mficha maradhi mauti humuumbua

Nasubir ushauri wenu

Hiyo ni moja wapo ya dalili ya ' mbaaaaaaaaaliiiiiiii ' sana ya VVU/UKIMWI kama siyo ' Fungus ' sugu na usipoangalia unaweza ukapoteza hiyo ' Mipumbu ' yako na ukafa. Wahi kapime HIV/AIDS na Fungus tafadhali.
 
Hapa unwelcome za kulaks seven zlizo hasirika kW ugonjwa huo je kama maradhi yameshambulia ndani aidha ndani ya mdomo hapo inakuaje??
 
Hili suala la kuwashwa koro usiku wakati nikitaka kulala ni mimi tu au kwa wote? Naomba msaada nijue kama langu nitafute spitali ya kwenda! Kama letu sote tuendeleeni na raha za kujikuna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom