Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,532
Nimecheeeka kwa dharau. Mwenzio korodani zina undergo erosion halafu unamwambia zinajitakasa. TehetehePumbu zinajitakasa Mkuu acha kuwa na wasiwasi kwani ni jambo la kawaida sana.
Nimecheeeka kwa dharau. Mwenzio korodani zina undergo erosion halafu unamwambia zinajitakasa. TehetehePumbu zinajitakasa Mkuu acha kuwa na wasiwasi kwani ni jambo la kawaida sana.
Pole mkuu.
Zingatia usafi kwa kusafisha korodani na taulo kila baada ya kuoga na ukishakauka pakaa candiderm cream asubuhi na jion(kutwa mara mbili). Fanya hivo kwa muda wa siku kumi na NNE. Kama tatizo likizidi pata kuonana na dakatari. Pole.
Soma vizuri.Mkuu hii haisaidii.
Nimetumia mwezi sasa. Nikamfuata dokta wa kike akataka kuona, baada ya kumuonesha akaomba namba aje kunitibia njiani.
Nipo serious. Huu ugonjwa umenikumba na mimi siku za karibuni.
Umenena vema na hili tatizo linawakuta wengiPole mkuu.
Zingatia usafi kwa kusafisha korodani na taulo kila baada ya kuoga na ukishakauka pakaa candiderm cream asubuhi na jion(kutwa mara mbili). Fanya hivo kwa muda wa siku kumi na NNE. Kama tatizo likizidi pata kuonana na dakatari. Pole.
Hao ni watu wawili tofauti mkuu..Soma vizuri.
<b>Jamani wanajamii naomba mnisaidie mwenzenu haraka sanaa...Ni hivi siku za karibuni nimekuwa na tatizo kwenye ngozi ya korodani (scrotum) tatizo lenyewe ni kwamba hiyo ngozi inakuwa ngumu kidogo ya kujikunja na inawasha sanaa kiasi kwamba ukikuna unahisi rahaa...na kibaya sahivi naona imeanza kubabuka yaani kama ile nyoka akifa ile ngozi inavyotoka...na haitoki na nyama wala nini....sasa wajameni nauliza hili ni tatizo ganii....???? au ni Fangas??? na situmii dawa yeyote mimii au ni Joto la DSM maana mm Wa Arusha............. PLease help me peoples!</b>
Umesema hutumii dawa yoyote. Ila hapa umekanusha tena
Ooooh!. Sorry. Nime quote vibayaHao ni watu wawili tofauti mkuu..
very sensitive yaani nipo chuo asee tunatumiaa bafuu na choo watu wengii sanaa afuu nkiendagaa home ilo tatizooo halipogoo kabisaThe Mason (Jina zuri sana),
Ni kwanini usiende kituo cha afya kilicho karibu nawe kwa uchunguzi wa kitaalamu zaidi?.Upo siriazi kweli au unatania?.
Ipo hivi,Vyoo vingi vya uswahilini vinasafishwa kwa Foma gold,Omo nk.Hizo sabuni si antiseptic,means haiuwi bacteria.Kinachokupata sasa ni Fangasi wanaosababishwa na bacteria hususan wanaopatikana chooni/bafuni kulingana na eneo unaloumwa.
Nenda kwa Mganga na utapata msaada zaidi.
Pole sana!very sensitive yaani nipo chuo asee tunatumiaa bafuu na choo watu wengii sanaa afuu nkiendagaa home ilo tatizooo halipogoo kabisa
Hiyo ndimu asisahau kuchanganya na pilipili.Mmmh,
Oga sugua sn then paka limau maji yake.Ni fungus tu hao