Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mimi ni wmanaume miaka 25, nilianza kushambuliwa na fangasi nikiwa form two 2007, mpaka naandika huu uzi nimehangaika zaidi ya miaka kumi bila kupata mafanikio,

Nimezunguka hospitali kubwa na ndogo natumia dawa bila mafanikio, nimetumia dawa nyingi za kienyeji bila mafanikio. Fangasi wa kwenye (tests) ngozi ya pumbu sehemu ya pembeni.

Naomba masaada wa dawa ambayo itanisaidia kupona kabisa maana nakosa furaha ya kuishi.

Nb: nimefanya vipimo vyote vya magonjwa ya ngozi vinaonsha ni fangasi.
tumia mafuta ya lavenda na castor pakaa utapona kwa uwezo wa Mungu
 
Jamani wanajamii naomba mnisaidie mwenzenu haraka sanaa...Ni hivi siku za karibuni nimekuwa na tatizo kwenye ngozi ya korodani (scrotum) tatizo lenyewe ni kwamba hiyo ngozi inakuwa ngumu kidogo ya kujikunja na inawasha sanaa kiasi kwamba ukikuna unahisi rahaa.

Na kibaya sahivi naona imeanza kubabuka yaani kama ile nyoka akifa ile ngozi inavyotoka na haitoki na nyama wala nini.

Sasa wajameni nauliza hili ni tatizo ganii? au ni Fangas??? na situmii dawa yeyote mimii au ni Joto la DSM maana mm Wa Arusha.

PLease help me peoples!
 
The Mason (Jina zuri sana),

Ni kwanini usiende kituo cha afya kilicho karibu nawe kwa uchunguzi wa kitaalamu zaidi?.Upo siriazi kweli au unatania?.

Ipo hivi,Vyoo vingi vya uswahilini vinasafishwa kwa Foma gold,Omo nk.Hizo sabuni si antiseptic,means haiuwi bacteria.Kinachokupata sasa ni Fangasi wanaosababishwa na bacteria hususan wanaopatikana chooni/bafuni kulingana na eneo unaloumwa.

Nenda kwa Mganga na utapata msaada zaidi.
 
Jamani wanajamii naomba mnisaidie mwenzenu haraka sanaa...Ni hivi siku za karibuni nimekuwa na tatizo kwenye ngozi ya korodani (scrotum) tatizo lenyewe ni kwamba hiyo ngozi inakuwa ngumu kidogo ya kujikunja na inawasha sanaa kiasi kwamba ukikuna unahisi rahaa...na kibaya sahivi naona imeanza kubabuka yaani kama ile nyoka akifa ile ngozi inavyotoka...na haitoki na nyama wala nini....sasa wajameni nauliza hili ni tatizo ganii....???? au ni Fangas??? na situmii dawa yeyote mimii au ni Joto la DSM maana mm Wa Arusha............. PLease help me peoples!
hiyo ni fangasi mzee, kama jamaa alivyoshauri hapo juu
 
Pole mkuu.
Zingatia usafi kwa kusafisha korodani na taulo kila baada ya kuoga na ukishakauka pakaa candiderm cream asubuhi na jion(kutwa mara mbili). Fanya hivo kwa muda wa siku kumi na NNE. Kama tatizo likizidi pata kuonana na dakatari. Pole.
 
Jamani wanajamii naomba mnisaidie mwenzenu haraka sanaa...Ni hivi siku za karibuni nimekuwa na tatizo kwenye ngozi ya korodani (scrotum) tatizo lenyewe ni kwamba hiyo ngozi inakuwa ngumu kidogo ya kujikunja na inawasha sanaa kiasi kwamba ukikuna unahisi rahaa...na kibaya sahivi naona imeanza kubabuka yaani kama ile nyoka akifa ile ngozi inavyotoka...na haitoki na nyama wala nini....sasa wajameni nauliza hili ni tatizo ganii....???? au ni Fangas??? na situmii dawa yeyote mimii au ni Joto la DSM maana mm Wa Arusha............. PLease help me peoples!
kuna Mawili either huogi vzr uko chin au upak mafuta sasa fanya hivi nyoa mkama kuna nywele alafu paka mafuta na kila ukioga sugua vzr na dodoki huko mzeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom