Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
kuwa msafi
Mama mkubwa ina maana kwamba wachafu tu ndo wanao pata fungus?
Basi sidhani kama ni kweli maana najiamini sana kwa usafi,tena msafi sana
kuwa msafi
Speaker, there you are; Hakuna aliyepitia Pugu na kutumia maji ya "pondi" ambaye hakupata dhahama ya severe pumbu fungus
Asante kwa ushauri. Ameonana na wataalam hao ndo waliomwandikia dawa hizo mbalimbali zikiwemo za kumeza, kupaka na kupachika. Anapona kwa muda halaf tatzo linajirudia,
Hakuna ugonjwa mgumu kupona ukiingia kwenye mwili kama Fungus, unaweza kujikuta unamalza hospital na dawa zote bila mafanikio. Mwambie asichoke aendelee kutumia dawa, zitamsaidia. Ila kweli ni mgumu kupona, cjui ni kwa nini. Labda kama kuna wataalam humu watatupa majib zaid.
Ndugu yangu Riwa,Inawezekana anatumia dawa lakini anajiosha sana ukeni akiingiza maji yakiwa/yasiyo na sabuni/dettol (douching)....wanawake wengi huwa wanafikiri hii ni njia sahihi ya kutunza usafi wa uke na kujiepusha na maginjwa kama hayo ya candidiasis na bacterial vaginosis, lakini si kweli. Kuosha kwa kuingiza vidole ukeni ukitumia maji + sabuni/dettol ndio kunaongeza tatizo hata kama unatumia dawa! Kama anafanya hivyo aache, aoge tu kawaida na kuweka dawa.
Habari zenu wanaJF doc's.,
Naombeni msaada in that thing, imetoka kama ni fungus flani hivi juu ya kichwa cha u*me, yaani inakuwa ka punye flani, ikipona kuna kuwa ka kagamba kalaini but ukikatoa panaanza upya.,
Just wanned to know if this Ant-bacteria medicine can cure this thing..!
Any aidia plz!