Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Jaman ndgu tumia dawa ya asili tu,fangasi za chini ya pumbu dawa yake ni shahawa za mwanamke ok?ukimkojoza tia tia kidore cha kati paka pumbu zinapona haraka

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Naombeni msaada wa mawazo wanajukwaa nasumbuliwa na fungus sugu nimejaribu kutumia dawa lakini wapi yaaan ninakuwa napatwa na muwasho wa korodani nikianza kujikuna napata maumivu makali naombeni ushauri nifanye nn au dawa ipi nitumie.
 
Nenda hospitali kwa matibabu mazuri zaidi.

Ukishindwa kabisa nunua na utumie fluconazole tabs, clotrimazole ya kupaka eneo husika then, uzingatie usafi & ukavu wa mwili wako na nguo za ndani. (hakikisha unazianika juani/unazipiga pasi)
 
Wakuu amani ya bwana iwe juu yenu,

Leo narudi katika uzi huu kutoa shukrani za dhati kabisa kwenu wachangiaji wa uzi huu.

Nilikuwa nasumbuliwa na fungus kwa muda mrefu sana since niko primary school.

Nilikuwa natumia tubes na dawa za kumeza zilikuwa zinapona kwa muda zinarejea tena.

Sasa niliamua kusoma uzi huu mwanzo mwisho

Yaani neno kwa neno nikapata njia kadhaa na nilianza nazo.

Njia zilizonivutia ilikuwa ni matumizi wa vitunguu swaumu kwa kuvisaga kama natengeneza pilau vile halafu nachukua kijiko kimoja nakunywa.

Nyingine ilikuwa ni kupakaa ndimu eneo husika baada ya kuoga na kujikausha vizuri.

Sasa nikakutana na nyingine humu ndani ambayo unatumia septrin na mafuta ya kawaida ya mgando kwa mimi nilikuwa natumia baby care ile ndogo kabisa.

Nilichukua septrin 20 nikazisaga zikawa unga unga halaf nikachanganya na yale mafuta mpaka sasa bado naendelea nayo ila du matokeo yake ni makubwa sana kiufupi sina tena hao wadudu.
kaka ulishapona fangasi zako kwa njia hii manake nami zinanisumbua.Nataka nijaribu
 
Habari JF DOCTORS, samahani naombeni msaada, mpenzi wangu anasumbuliwa sana na muwasho ukeni mara kwa mara, kaenda sana hospitali wanampa dawa na cream za kupaka, lakini hali inajirudia jirudia, akitumia dawa anapata nafuu temporary baada ya siku kadhaa hali inaanza tena, je tatizo hili linasababishwa na nini? suluhisho la kudumu ni nini? naombeni hata kama kuna tiba mbadala mtushauri ili atumie maana za hospitali naona kama zimemzoea sana
 
Ndugu pole kwa hilo,

Fungus ikiwa niya uken haina haja ya tubes hizo cz hao fungus wako ndan tayar na huenda wako kwenye mfumo wa dam,
Hiyo kuna haja ya kutumia dawa za kumeza siyo za kupaka tena

Atumie dawa inaitwa
Griseofulvin,,,ni vidonge vya kumeza

Weny utalaam zaid wanakuja,lakin hiyo nakuhakikishia atapona,

Zingatia,kama ana mtu wake wakumwingia,lazima watumie dozi wote,
USAF na maji ya kunywa ni lazm,

Uguza pol
 
Jamani karibuni, pia wanawake mliowahi pata tatizo hili la fangasi ukeni na mkapata tiba ya kudumu karibuni mtoe ushauri
 
Habari JF DOCTORS, samahani naombeni msaada, mpenzi wangu anasumbuliwa sana na muwasho ukeni mara kwa mara, kaenda sana hospitali wanampa dawa na cream za kupaka, lakini hali inajirudia jirudia, akitumia dawa anapata nafuu temporary baada ya siku kadhaa hali inaanza tena, je tatizo hili linasababishwa na nini? suluhisho la kudumu ni nini? naombeni hata kama kuna tiba mbadala mtushauri ili atumie maana za hospitali naona kama zimemzoea sana

Atumie crystal cell nitampatia kwa tsh 300,000 tu na itakua historia na pia ukishindwa muanzishie bili ya maziwa mtingi kila siku ajitahidi kunya hata mara tatu au mara mbili akishindwa
 
Atumie crystal cell nitampatia kwa tsh 300,000 tu na itakua historia na pia ukishindwa muanzishie bili ya maziwa mtingi kila siku ajitahidi kunya hata mara tatu au mara mbili akishindwa
asante sana kwa ushauri mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom