Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Nimesumbuliwa na Fangas Kwa muda kidogo na nilijaribu Kutumia dawa bado tatizo halikuisha. Siku kama tatu zilizopita nikapitia moja ya thread hapa ambapo Kuna mwana jf akasema matumizi ya ndimu

Nikaamua Kutumia na sikuamini macho yangu kuwashwa kote Kumeisha, najisikia huru sasa, namshukuru Mungu na wakuu wote humu JF mungu aendelee kuwabariki. faiza Fox God bless u
 
Nime chukua ndimu mbichi nikakata robo Kipande nikapaka maeneo yanayo washa asubuhi na jioni, ilikuwa fungus wa sehemu za Siri wakuu, tahadhari usipake nyingi paka kidogo
 
  • Nimesumbuliwa na Fungas Kwa muda kidogo na nilijaribu Kutumia dawa bado tatizo haliishi ila siku kama tatu zilizopita nikapitia moja ya thread hapa ambapo Kuna mwana jf akasema matumiz ya ndimu nikaamua Kutumia na Sikuamini macho yangu Kuwashwa Kwote Kumeisha, najisikia huru Sasa, namshukuru Mungu na wakuu wote humu JF mungu aendelee Kuwabariki.faiza Fox God bless u
Funguka basi ndimu ulitumiaje ili wengine nao wapate somo
 
Kingine tatizo langu Kubwa lilikuwa Kuwashwa chini ya pumbu na pumbu yenyewe na ngoz ya uume ila ndimu imeondoa muasho wote na mwisho na inakata harufu yote
 
Ha ha ha,eti tahadhari usipake nyingi ha ha ,sasa ungepaka vitunguu swaumu si ungecheza mdundiko vile vinauma
 
Tujulishe ndimu inatumiwaje kuondoa fungas?
Dalili za mgonjwa wa maumivu ya kichwa haya mwambie hivi(ili akusaidie) '' Na mimi ninatatizo la fungus, nitumieje ili nipone'' au '' tuwekee link ya hiyo thread ili nasi wahanga itufae''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom