Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu sehemu za siri: Dalili na Matibabu yake

Joined
Feb 13, 2017
Messages
58
Points
125
Joined Feb 13, 2017
58 125
Ooopps pole sana Ndugu ..Ila nisuala LA kawaida na linalotibika..pole kwa kuzunguka na wakat mwingne najua hata unawaza kua Wenda zikaharibu utengenezaji Wa manii .......ila sio kweli hao ni fangasi wanaokaa njee ya ngozi tu na huwez kuwatibu kwa dawa za kienyeji ...uelewe tu kwamba Fungi wanaokaa sehem ya joto na unyev unyev huwa Mara nying wanakua katika spores form hawa huwa kuna madawa ambayo hayawatibu yaan wanauwezo Wa kupinga baadhi ya madawa yalomepesi mepesi .

Ushauri wangu.
NUNUA DAWA AINA YA WHITEFIELD OINTMENT INAAUZWA KATI YA ELFU MOJA MIATANO ---ELFU MBILI .......HAKIKISHA UNA BOKISA NGUO ZA NDAN ZISIZOPUNGUA TANO AU KAMA UNAZO SABA NI VIZUR ....ASABUHI OGA AU SAFISHA ENEO LOTE KA KENDE PEMBEN NA UUME WOTE ...TUMIA KITAMBAAA SAFI KUFUTA MAJI HAKIKISHA UNAFUTA PANAKAUKA .....KISHA UPAKAE ENEO LOTE HILO LILILOATHIRIWA ......NA JIONI PIA UJISAFISHE KISHA UPAKE IVYO IVYO ...N.B KUBADILI NGUO ZANDAN KILA UNAPOPAKA DAWA NDIO MUHIMU .....NA KUFUA IZO ULIZOVAA AWALI ....USIRUDIE KUVAA BOKSA BILA KUIFUA .......

DAWA HII KWAMARA YAKWANZA INAWASHA NAHII NIKUTOKANA NA UTENDAJI KAZI YAKE ..

NAKUAKIKISHIA NDANI YA SIKU 2-3 UTAONA MAJIBU NA UTAHISI KUPONA ILA NAOMBA UTAKAPOONA UMEPONA WE ENDELEA KUPAKA DAWA HII KWA MUDA WA MWEZI MZIMA .

USAFI NI MUHIMU SANA.

KWA WANAOUMWA MBA ....PUNYE ....FANGAS WOTE WA NJE ....NA GONJWA YANGOZI MENGINE .....USISUMBUKE KUMEZA MIDAWA AMBAYO HAIJAKUSAIDIA KITUU DAWA HIYO APO JUU NMEWAAMBIA .

MKUU UTANIJULISHA NDAN YA SIKU MBILI UKISHATUMIA HII DAWA.ASANTE.
Shukrani sana
 

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
15,072
Points
2,000

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
15,072 2,000
Ugonjwa huu husababishwa na wadudu wanaoitwa candida na kawaida kila mwanamke anakuwa na jamii ya fangasi sehemu zake za siri na wadudu hao huwa wanamlinda mwanamke ili asishambuliwe na wadudu wengine.

Inapotokea wale wadudu wanaomlinda kuwa wengi sana ukeni badala ya kulinda mwili hugeuka na kuanza kushambulia na mwisho dalili hujitokeza na ndipo hapo tiba huwa inahitajika haraka sana ili kuzuia madhara mengine.

Kuna baadhi ya sababu zinazo sababisha fangasi kutokea ukeni na sababu hizo ni kama ifuatavyo:

Kutumia dawa za antibayotiki mara kwa mara na kwa muda mrefu, husababisha fangasi kwani dawa hizo huua wadudu wote wanaolinda mwili na kuacha uke ukiwa hauna kinga. Dawa za antibayotiki ni kama, Ampicillini, Amoxylline, Ciproflaxine, Doxylline, Erythromycine, Gentamcycine na nyingine nyingi hivyo basi, jamii isitumie ovyo dawa za antibayotiki bila ushauri wa daktari.

Sababu nyingine ni unene kupita kiasi. Mtu akinenepa anaweza kupata fangasi kwasababu unene husababisha jasho sehemu za siri nakuongeza unyevunyevu sehemu hizo pia michubuko kutokana na kubanwa na nguo ya ndani. Sababu zingine ni utumiaji wa dawa ya jamii ya steroid, dawa hizi ni kama Prednisoline, Hydrocortisone Dexameltasone na nyingine nyingi.
Hizi nazo hupunguza kinga ya mwili na kusababisha fangasi kuzaliana kwa wingi.

Pia kuna magonjwa yanayosababisha kupungua kwa kinga nayo ni kisukari, Ukimwi na magonjwa mengine yanayopunguza kinga ya mwili na kusababisha magonjwa nyemelezi.

Kuwepo na joto kupita kiasi na kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka pia husababisha fangasi sehemu za siri.

Sababu ni nyingi na hatuwezi kuzitaja zote.

Dalili

Dalili hutofautiana kutokana na mtu na mwingine ila dalili kubwa ni kutokwa na majimaji meupe wakati mwingine kama mgando wenye rangi ya njano ukiwa umeambatana na muwasho sehemu za ndani au kwenye mashavu ya sehemu za nje za siri.

Nje ya sehemu hizi za siri hutokea wekundu na maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo la ndoa.

Pia mgonjwa atajikuta akikojoa mara kwa mara. Tiba na ushauri Fangasi hutibika vizuri nakupona ila ni vizuri ukaenda hospitali na kufanyiwa kipimo cha mkojo ambapo chembechembe za yeast huonwa vizuri kwenye darubini.

Baada ya kupima ukigundulika una fangasi sehemu za siri njoo *Eden Herbal* tukupatie tiba yenye uhakika.

Usinunue dawa hovyo na kutumia utasababisha usugu wa fangasi, hivyo kutopona.

Kwa ushauri na matibabu ya fangasi zozote wasiliana na madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Uzazi
 

KABOCHO

Member
Joined
Feb 4, 2017
Messages
47
Points
125

KABOCHO

Member
Joined Feb 4, 2017
47 125
Nimesumbuliwa na Fangas Kwa muda kidogo na nilijaribu Kutumia dawa bado tatizo halikuisha. Siku kama tatu zilizopita nikapitia moja ya thread hapa ambapo Kuna mwana jf akasema matumizi ya ndimu

Nikaamua Kutumia na sikuamini macho yangu kuwashwa kote Kumeisha, najisikia huru sasa, namshukuru Mungu na wakuu wote humu JF mungu aendelee kuwabariki. faiza Fox God bless u
 

unique dada

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
725
Points
1,000

unique dada

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
725 1,000
  • Nimesumbuliwa na Fungas Kwa muda kidogo na nilijaribu Kutumia dawa bado tatizo haliishi ila siku kama tatu zilizopita nikapitia moja ya thread hapa ambapo Kuna mwana jf akasema matumiz ya ndimu nikaamua Kutumia na Sikuamini macho yangu Kuwashwa Kwote Kumeisha, najisikia huru Sasa, namshukuru Mungu na wakuu wote humu JF mungu aendelee Kuwabariki.faiza Fox God bless u
Funguka basi ndimu ulitumiaje ili wengine nao wapate somo
 

Forum statistics

Threads 1,391,488
Members 528,416
Posts 34,082,454
Top