Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu sehemu za siri: Dalili na Matibabu yake


Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
6,356
Points
1,195
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2010
6,356 1,195
Kama alivyosema Smarter hapo juu ni sahihi. kwanza ukisha maliza kuoga hakikisha unajifuta na kukauka kabisa, hatua nyingine, nyoa mavuzi yote ubaki kipara hasa sehemu za korodani. Wakati wa kunawa tumia shampoo zilizoandikwa Antidundruf na medicated soap km protex n.k. Ukimaliza jisafishe na dettol liquid (ile ya chupa ya plastic) tumia pamba kujipaka dettol sehemu zilizoathirika. Pia nakushauri ununue co-trimazole powder uwe unatumia wakati ukienda kazini jinyunyizie hasa ktka corners na mapaja. Unaweza tumia zote dettol kupaka maana itakauka mara moja kisha jinyunyizie hiyo powder. natumai itakusaidia
Asante sana mpasuaji,nita fanyia kazi hayo yenye wekundu hapo
 
Amina Thomas

Amina Thomas

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2008
Messages
273
Points
195
Amina Thomas

Amina Thomas

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2008
273 195
mh! dettol na fungus hua havipatani sana! tumia gentrisone na utapona fasta.
 
MKUNGA

MKUNGA

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Messages
442
Points
195
MKUNGA

MKUNGA

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2009
442 195
Mkuu hiyo hali inaitwa kipumbu ilitusumbua sana wkt tunasoma shule moja boarding (anonymous) teacher wa Chemistry msela2 alituma chemical moja nimeisahu tukajipaka. Sababu kubwa ni mabafu yetu huku uswazi. Cha kufanya tumia sabuni ya dettol ile ya 2500 au 3000 mana hiza za 1000 nyingi zimechakachuliwa. Vile2 nunua dawa ya kudekia ****** at least unaimwaga kwanza kuu bacteria mana uswahilini vyoo na mabafu vinadekiwa kwa foma ambyo sio antiseptic. kanunue dawa inaitwa FINGIDERM itakusaidia. nadhani umenisoma muu.
 
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
6,356
Points
1,195
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2010
6,356 1,195
mh! dettol na fungus hua havipatani sana! tumia gentrisone na utapona fasta.
Mkuu hiyo hali inaitwa kipumbu ilitusumbua sana wkt tunasoma shule moja boarding (anonymous) teacher wa Chemistry msela2 alituma chemical moja nimeisahu tukajipaka. Sababu kubwa ni mabafu yetu huku uswazi. Cha kufanya tumia sabuni ya dettol ile ya 2500 au 3000 mana hiza za 1000 nyingi zimechakachuliwa. Vile2 nunua dawa ya kudekia ****** at least unaimwaga kwanza kuu bacteria mana uswahilini vyoo na mabafu vinadekiwa kwa foma ambyo sio antiseptic. kanunue dawa inaitwa FINGIDERM itakusaidia. nadhani umenisoma muu.
sana mkunga,asante sana mkuu nimekusoma!
Uswazi huku bafu ni chafu balaa duh nadhani ndio sababu,...vipi ndo mambo ya pugu nini?
 
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2008
Messages
2,427
Points
0
M

Mapinduzi

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2008
2,427 0
Inaelekea umeukubali ushauri wote uliopewa. Kuwa makini sana na ushauri wa kitabibu unaoupata JF.

KAMUONE DAKTARI HARAKA AKUPE USHAURI.
 
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
6,356
Points
1,195
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2010
6,356 1,195
Inaelekea umeukubali ushauri wote uliopewa. Kuwa makini sana na ushauri wa kitabibu unaoupata JF.

KAMUONE DAKTARI HARAKA AKUPE USHAURI.
kwanza nimependa signature yako,
asante sana mkuu,uzuri wa ushauri sio kwamba ndicho utakacho fanya,unaangalia kilicho bora unabeba na hata kama hakikufai basi unashukuru kwa walio jitahidi walau kujibu maana utakuta "123 views" na "3 replies" you must thank and appreciate these 3!

Nashukuru sana kwa kujali,hofu yako ni muhimu sana kwangu
 
K

Kudadadeki

Member
Joined
Oct 7, 2010
Messages
70
Points
0
K

Kudadadeki

Member
Joined Oct 7, 2010
70 0
sana mkunga,asante sana mkuu nimekusoma!
Uswazi huku bafu ni chafu balaa duh nadhani ndio sababu,...vipi ndo mambo ya pugu nini?
Speaker, there you are; Hakuna aliyepitia Pugu na kutumia maji ya "pondi" ambaye hakupata dhahama ya severe pumbu fungus
 
Nanren

Nanren

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2009
Messages
1,799
Points
1,250
Nanren

Nanren

JF-Expert Member
Joined May 11, 2009
1,799 1,250
Niko smart sana,ila yawezekana bafu mahali hapa napoishi zikawa zina sababisha pia?
maana tupo wapangaji kibao na sina amani na bafu hizi


Mbali na uliyoshauriwa na wadau hapo juu, kumbuka kuhakikisha chupi unayovaa wakati wote ni kavu. Ikifuliwa, lazima ipigwe pasi. Kama huna uwezo wa kupiga pasi ya umeme au mkaa, hakikisha chupi hiyo inakauka kwenye jua (direct sunlight) kwa masaa yasiyopungua sita. Tatizo litakwisha.
 
Ambassador

Ambassador

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2008
Messages
936
Points
195
Ambassador

Ambassador

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2008
936 195
Unaweza kupata fungus kutoka kwa mwenza wako, hasa kama atakuwa anatoa maji mengi na yako infected. Wakati unazingatia tiba mshirikishe na mwenza wako, vinginevyo tatizo litakuwa linajirudia.
 
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
6,356
Points
1,195
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2010
6,356 1,195
Unaweza kupata fungus kutoka kwa mwenza wako, hasa kama atakuwa anatoa maji mengi na yako infected. Wakati unazingatia tiba mshirikishe na mwenza wako, vinginevyo tatizo litakuwa linajirudia.
Asante sana ambassador,nazidi kupata shule hapa
 
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
6,356
Points
1,195
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2010
6,356 1,195
Speaker, there you are; Hakuna aliyepitia Pugu na kutumia maji ya "pondi" ambaye hakupata dhahama ya severe pumbu fungus
hahahahahaha,dah unanikubusha rafiki yangu mmoja jinsi alivokuwa anateseka nao aisee!

Kumbe sasa sio uchafu tu unao weza kusababisha lakini na maji tunayo tumia au mabafu tunayo changia uswahilini!
maana unaweza kusema uwe msafi lakini pale unapo enda kuji safishia ni pachafu sana
 
Nipigie

Nipigie

Senior Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
121
Points
0
Nipigie

Nipigie

Senior Member
Joined Nov 2, 2010
121 0
usafi mkuu, ni pamoja na kujitolea kudeki hilo bafu.
 
analysti

analysti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
723
Points
500
analysti

analysti

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
723 500
Ndugu wana JF, Ninasumbuliwa na Fungus za kwenye ngozi katikati ya paja na testicles, imeshambulia na testicles pia( Tinea cruris). Nimejaribu kutumia ketoconazole,Miconazole creams zote zimeshindwa kutibu. Naomba mtu anayefahamu dawa itakayoweza kuniondolea tatizo hili anisaidie. Natanguliza shukurani.
 
Rodcones

Rodcones

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2007
Messages
405
Points
195
Rodcones

Rodcones

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2007
405 195
Mchawi ni wewe mwenyewe unajua kabisa Fungus wanaendana na hali ya hewa
Kama ulikuwa unavaa Chupi acha hakikisha hapo mahala pakavu 24/7 pili hakikisha unatumia
antibacteria soap kwa kuogea na hii lazima ifanyike si kwa mda mchache ni lazima kama miaka 2 hadi 3
Mwisho kila unapooshea na antibacteria paka hiyo dawa yako na tumia hiyo si chini ya miezi sita hadi mwaka
na lazima iwe 2 times a day. na ni everyday so kuoga ni lazima kila siku

Natumaini utapona.
 
Mhafidhina

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Messages
548
Points
0
Mhafidhina

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2008
548 0
tumia poda ya mycodem...! Ni nzuri sana na inakausha mara moja...! Usitumia cream huwa zinaongezabsana fungus kwa sababu ya unyevunyevu...!
 
Masika

Masika

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2009
Messages
731
Points
195
Masika

Masika

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2009
731 195
Ushauri wangu ni kama ufuatao:-
Hakikisha sehemu husika inakuwa kavu masaa 24,pili pakaa poda yoyote ya kutibu fangasi asubuhi na usiku kwa wiki 4 mfululizo.
tatu,tafuta na meza antibiotic eg cloxacillin 250mg(2 x 3 siku 5) kama sehemu yenyewe imekwa kama kidonda ili uweze kukausha haraka.
Nne usivae boxer/chupi bali vaa bukta yenye kuruhusu hewa kupita na jikaushe vizuri baada ya kuoga(ni vizuri kusubiri ukauke kabla ya kuvaa nguo). Usitumie sabuni zenye dawa kwani zitakusaidia kwa muda lakini zitafanya ngozi kupoteza uwezo wake wa asili wa kujilinda dhidi ya vijidudu(ngozi ina uwezo wa kujilinda kiasili,haiitaji msaada, na uwezo wake unaongezeka kadiri inavyoshambuliwa na vijidudu-)
Tano hakikisha unabadili nguo ya ndani kila siku na unavaa nguo safi na ikibidi uipige pasi kila siku.
Sita,tumia cream inayoitwa QUADRIDERM X 2 KWA SIKU 14 lakini ipake sehemu ikiwa kavu na kaa dk 15-30 kabla ya kuvaa nguo
Mwisho,unaweza kwenda hospitali kwa uchunguzi na ushauri zaidi!
 
anjnr

anjnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Messages
501
Points
225
anjnr

anjnr

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2010
501 225
Jamani msaidieni huyu dada amekuwa na Vaginal discharge kwa muda mrefu karibia mwaka sasa, vipimo vinaonyesha ni candidiasis. Ametumia dawa nyingi lakini tatizo linajirudia.
 

Forum statistics

Threads 1,283,520
Members 493,720
Posts 30,792,727
Top