Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mkuu unahonga honga ovyo hujiamini, kuonga kote uko bado unatumia tecno.

c6fba7eea5238ca6db04b3da99f75e53.jpg


Na hii ni nini?fimbo za macho tuu pussy wewe niko katika level ya maisha ambayo nina uwezo wa kununua chochote ninachotaka
 
Mimi zangu za mkopo akijifanya anaruka nahonga iPhone zenye iCloud namwambia hiyo ukiflashi fresh unakaa hewani hiyo ni password ya kawaida tuu na hii ni kwa vile visuuuu ila kichwani zero.....hawa wengine huwa tunakopa tu mwanzo mwisho.
Mkuu kuhonga iphone yenye iCloud ni ubaribifu, nitakup mbinu.. Mpya. Iphone ya icloud bado ni pesa ukiuza spares mkuu. Sijapenda kabisa
 
Hhhhahhhaha hiki chama kitapata wafadhili wengi sana.......bora tufadhili hiki chama kuliko kuhonga mwanamke.

Naombeni namba ya uanachama tafadhali.
 
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Me ndio zangu demu akiwa mizinga mingi naweza ata zimu mpaka achoke
 
Ila ukila umelipia kuna raha yake jamani, watoto wanabinuka na kujikunja kama jongoo alieguswa sharubu.

Lakini vya dezo, utapewa style za ajabu ajabu kama maiti iliyosusiwa na ndugu.
Tunalipa lakini ile stahiki sio kinyume chake
 
Tehe tehe tehe
Kweli JPM amekaza..mpaka vijana wanapitia katiba upya ya uhongaji.


Nikupongeze mtela mada..maboresho ya mbinu ni muhimu kwani kwa kuzingatia hayo itawezesha wanaume kulinda maslahi ya waleti na mafanikio kiujumla.

TABIA YA UHONGAJI usio na mipaka umewatoa vijana wengi nje ya chaki kwa kuendelea kutumia mihemko katika uhongaji.Hivyo mwisho wa siku kupoteza nyota na pesa ambazo zingemsaidia katika mambo ya msingi.

NIPENDEKEZE...Weledi watiririshe mbinu mpya ambazo zitafanya katiba ya uhongaji kuwa yenye tija bila kuathiri uchumi wa mwanaume.

Ahsante.
Mubashara kabisa
 
Jiulize jambo moja tuu, kama unayo kwanini usimpe kama ana mahitaji?kama hauna na anaforce hapo sawa, sioni ugumu kumpa hata kama ni mchepuko wangu hela afanye anachotaka huo ni ubinafsi, tatizo mnawaza pussy too, ila inafurahisha kama uko na mchepuko, mke au mchumba wako na amependeza na wa kisasa zaidi, mimi siwezi kuvaa kiatu kizuri afu mwanamke wangu anavaa vya kimasai no no...nshaset standard ntaishi nayo hivyo hivyo kuna vitu ving sana vya kujifunza
kuna bahili anayewaza pussy tu? umebugi man:D
 
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu


Inakuwaje mwanamme unayejitambua unajisahau mpaka unapigwa mzinga na demu? Makosa ni yenu nyie wanaume msiojitambua, usimpe mwanamke nafasi ya kukuomba mzinga na kumuendekeza.....kabla hajapata hiyo hela inabidi ateseke kwanza na kama ana kiburi basi asipewe hata robo ya hiyo pesa. Anakuomba mzinga wewe ni mzazi wake? Acheni kuendekeza wanawake wa dizaini hii, wakiona wanaume wanawakimbia watajirekebisha tu na kugawa bure.
 
Back
Top Bottom