Mabaharia

bongonyoo

JF-Expert Member
Jun 29, 2019
604
881
mabaharia wenzangu hivi kwa hapa Dar hakunaga machimbo ya mchana??....maana wakati mwingine unakabwa na kiu halafu kusubir hadi usiku inakua ngumu,,tujuzane km kuna machimbo ya kwenda na ukawakuta wapo mchana km Nairobi
 
Baharia usiogope kule kutamu Sana mana Kuna viti vya kuwatenga mpaka gorori inakuwa karibu ukitoa 50elfu unahakika siku nzima anajisikia kichefuchefu yaaan kila akitumia elfu kumi moja anatapika
shikamoo baharia mwenzangu,,ila umenizidi cheo aisee
 
baharia unakwama wapi wakati sikuizi wana ma group yao watsap inta ndo wamejaa yani wanajitangaza kabisa kwenye post za watu famous
tatizo wanataka mpunga mrefu wale wa social media,,akishuka sana anataka 30 goli moja,wengine hadi 40/50,mm nataka wale wa 10-15 baharia
 
tatizo wanataka mpunga mrefu wale wa social media,,akishuka sana anataka 30 goli moja,wengine hadi 40/50,mm nataka wale wa 10-15 baharia
Unajisikiaje kutumia 15k kwa mda usiozid dakika10 harfu mama yako kule kijijin anakuomba elf5 tu ya kulimia shamba unamwambia "mama kwa sasaiv Sina hela kabisa nimebanana ".
Ukitoka hapo unamulaumu mungu kwa Mambo yako kutokwenda sawa wakati sababu unaijua kabisa Tena Zaid ya 100%
 
wewe aliekwambia kuwa mama zetu wote humu wapo kijijini na wana shida na vichenchi maiti ni nani mkuu,,kwa taarifa yako nikikwamaga sana pengine mshahara umechelewa kidogo au tatizo lolote la ghafla limenipata namtext maza chap 300-400k ni kawaida sana,punde si punde M-pesa washatuma msg kwangu kuwa wameniongezea fedha kwny acc yangu kutoka kwa bi mkubwa,,,,hapo bado bi mkubwa anae miez 9 tu kzn then anastaaf,,,hiyo penshen approximately ya mama anadai inaenda 180-200mil,,utaniambia nini mjini hapa,,,,wengine usituone hapa mjini tunazurura ukadhani tuna mshahara wa 1.5 mil per month,,tunapata vijimshahara vya laki 3.5 tu take home mkuu,ila jeuri zinaletwa na bi mkubwa,madingi zetu ndo wagumu hawatoi kitu,lkn mama...........acha kabisa mzee baba....live long dear mom.
 
Dah...ushauri mbovu Sana huu...kwa baharia
umeonaee,,yy km anae 45yrs si aniache na mm nikifikisha 40 ntaoa,watoto niao kibao mitaani,na wengine nahisi nimesingiziwa,nikioa natafuta wawili tu wa kwenye ndoa,,tena wa chap chap...jumamosi na jumapili then natulia na ndoa yangu nilee watt
 
yule sister wako mwenyewe 40 ana mtoto?? ule uzi umefungiwa kule
 
Back
Top Bottom