Mabaharia tusisomeshe kupitiliza, graduation 2019 kuna mabaharia wametoa chozi

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wanabodi,

Sherehe za wahitimu 2019 zimegubikwa na kasheshe za hapa na pale. Mabaharia waliosomesha na kutoa huduma vyuoni wamelia baada ya kushuhudia mahusiano mapya kipindi hiki cha sherehe.

Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.Tusisomeshe kivile, kuna jamaa ana Diploma halafu mke wake kagraduate Masters Mzumbe University. Amepata shida sana Morogoro baada ya kuona alichokielewa machoni mwake.

Mabaharia tusikwame!
 
Hebu tulizeni munkari muelezee vizuri
Kumbe ulikuwepo mkuu, nami nimeshuhudia janga hilo ila nilichosikia kutoka kwa yule jamaa ni "... haiwezekani bora tukose wote"
 
Hakuna katiba ya kibaharia inayoruhusu baharia kulia,hao si mabaharia ila wapo chekechea ya ubaharia wakifika chuo wataacha.
 
Ukishaanza kumsomesha mwanamke tu basi wewe siyo Baharia.
Na tarajia matokeo hasi kwenye mapenzi yenu.
 
Kumbe ulikuwepo mkuu, nami nimeshuhudia janga hilo ila nilichosikia kutoka kwa yule jamaa ni "... haiwezekani bora tukose wote"
dah mkuu umejua kunichekesha sana..... kwaiyo saiv watu wanasubiria kuona ni namna gani watakosa wote
 
Sasa ale vya mtu alafu anakuja jamaa anaondoka naye bado mkiwa meza moja unategemea nini hapo?
 
Back
Top Bottom