Mabadiliko ya masafa ya ITV naweza kuyapata kwa MPG 2 dekoda?

Mediacom ilishauzwa kwa wachina, na ni ngumu sana kupata receiver ya mpeg 4 isiyotoka china maana dunia ya kwanza si sana kutumia satelite.
Haaaaa kumbe dunia ya kwanza wanatumia DTT eti bro? Mie Mediacom 930 ni ya kotea bro sijui niitupe?
 
Huyo anazungumzia dishi lake dogo, wewe si tayari una dishi lako? Upgrade tu receiver.
Halafu ilikohamia intesat 22@72e kwa tanzania mpaka uwe na futi 8 iliyonyooka,ikiwa futi 8 yenye matege baadhi za channel hazitaingia
 
ukiwa na receiver ya mpeg 2 hizo itv utazipata vizuri sana hapa 72e na kama ukiwa na mpeg4 utazipata na za kenya maana wao wametumia mpeg4 kuzipata kwahiyo wewe mwenye mediacom usitupe
 
ukiwa na receiver ya mpeg 2 hizo itv utazipata vizuri sana hapa 72e na kama ukiwa na mpeg4 utazipata na za kenya maana wao wametumia mpeg4 kuzipata kwahiyo wewe mwenye mediacom usitupe
Mimi nina MPEG 2 Mediacom 930 nisiitupe bro? Kwani ilibaki ITV eatv na msumbiji basi nyingine ziko MPEG 4 nifanyaje?
 
Back
Top Bottom