Mabadiriko ya katiba ya ccm na taadhari kwa watanzania

bne

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,672
2,006
Nikama siku moja tu iliyopita ambapo chama kikongwe cha siasa nchini Tanzania kuifanyia Mabadiriko makubwa katiba yake
Kwa uangalifu wa haraka inaonekana ni jambo LA kawaida , hata wanachama na viongozi waliopewa nafasi ya kuyapigia debe mabadiriko hayo waliendelea kuwatoa hofu wanachama wako kwa kuwambia kuwa ni mabadiriko ya kawaida.
Lkn kwa watu ka sisi tunaofwatilia historia ya dunia, mabadiriko haya yanapaswa yachukuliwe na watanzania kwa taadhari kubwa sana kwani Mara zote huwa ndio chanzo cha mabadiriko ya katiba ya nchi.
Kiongozi yeyote anaeingia madarakani na kwa muda mfupi anakimbilia kufanya mabadiriko ya katiba ktk chama chake, huwa haiishii hapo, tamaa yake huongezeka zaidi hivyo kinachofwatia huwa ni kubadiri katiba ya nchi na has a ikixingatiwa kuwa mabadiriko hayo humfaidisha yeye kisiasa.
Viongozi hawa huwa na mawazo kuwa kama ameweza kubadiri katiba ya chama chake haraka anashindwa mini ya nchi?
Historia itufunze jambo walau kwa uchache ingawa wako wengi.
Burundi alipoingia Unkurunxiza jambo LA kwanza alilofanya ni kubadiri katiba ya chama chake lkn hakuishia hapo baadae alibadiri na katiba ya nchi ili aendelee kutawala.
Uganda Museveni alipoingia madarakani kwanza alibadiri katiba ya chama chakena baadae ikafwatiwa na katiba ya nchi na sasa ni raisi wa maisha
DRC Kabila alipoingia madarakani aliibadili katiba ya chama chake, baadae ya nchi ikafwata sasa haki kutoka.
Uturuki Edorgawarn kwanza alibadili katiba ya chama chake na sasa anataka kubadili ya nchi atawale milele.
Sasa swali LA kujiuliza he kwa hapa kwetu hii ni ishara gani? Kwanini amekua na haraka sana ya jambo hilo?
Narudia kusema makubwa zaidi yanakuja na tutashangaa na kujikuta tumechewa kuidhibiti Bali.
 
Back
Top Bottom