Mabadiliko yanaletwa na waliomo ndani kutoka nje na kusema yaliyomo ndani

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
567
225
Kambarage aliona mbali,akasema mabadiliko yatatoka ndani ya chama tawala.Kwasababu aliye ndani anayajua vyema ya ndani hivyo akitoka nje akachanganya na ya wengine ndiyo tunaweza kuona mabadiliko Makubwa

Na pia nyuma yake ana watu wengi ndani na nje ya chama tawala.
Na pia alikuwa ameshajipanga toka 2015 sema tu upepo wa kisulisuli ulioletwa na Lowasa ulifanya majani na mavumbi yaangukie Chato.

Binafsi nadhani tumpe aliye madarakani miaka 5 mingine kwani ni mchapa kazi na mwenye uchungu na wa Tanzania wenzake na maendeleo yanaonekana,ANALINDA RASILIMALI NA KODI ZA WANANCHI WAKE,ANAKABILIANA NA UBEBERU BILA WOGA NA SIYO MNAFIKI
Ila akubali ushauri,aitendee Katiba haki,na apunguze uongozi wa kikanda
 

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,270
2,000
Msaidieni huyu NDULI MAGU asije akaishia pabaya manake Umoja wa Mataifa sasa wamemweka kwenye spot light na jinsi anavyokwenda ataishia pabaya sana muda si muda.
 

mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
4,607
2,000
Msaidieni huyu NDULI MAGU asije akaishia pabaya manake Umoja wa Mataifa sasa wamemweka kwenye spot light na jinsi anavyokwenda ataishia pabaya sana muda si muda.
Endelea kuweweseka tu magufuli baba Lao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom