Mabadiliko yanaanza na wewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko yanaanza na wewe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SWADO, Jan 18, 2011.

 1. S

  SWADO Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF kwa kweli tunahitaji kuwa na mabadiliko ya kweli tunahitaji kuleta mada ambazo zitaimarisha mahusiano, zitadumisha upendo na mwisho kila mmoja awe na ndoa nzuri vinginevyo tutachangia hoja zisizo na manufaa kwenye mapenzi mwisho wa siku tunaharibu badala ya kujenga, kuna hoja zinapaswa kwenda kwenye jokes we need something serious here siku njema:usa:
   
 2. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Umesomeka
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nimekusoma lkn as u said inaanza na ww!toa basi mada tuko tayari kuelimika na kujifunza pol in ol big up!
   
Loading...