Mabadiliko ya Vifurushi vya mitandao Tanzania: Je, tutarajie nini?

Wamesitisha naona Dk. Ndugulile mharibifu wa vifurushi kaingilia .Yaani Kodi kwenye mafuta, Makato ya tozo za miamala ya kimtandao then linakuja na hili

Ndugu mteja, tumesitisha mabadiliko ya vifurushi yaliyotarajiwa kufanyika tar.16/08/2021 mpaka utakapojulishwa tena. Asante!
 
Haya makampuni ya simu yamekula faida kubwa kwa muda mrefu sana sasa mambo yamebadilika wanaanza kula hasara kidogo wanabadilisha bei za vifurushi.Wanaleta unrest katika nchi na kuonekana wanamhujumu Mama naelewa nguvu nyingi imetumika kuwazuia .
 
Wamesitisha naona Dk. Ndugulile mharibifu wa vifurushi kaingilia .Yaani Kodi kwenye mafuta, Makato ya tozo za miamala ya kimtandao then linakuja na hili

Ndugu mteja, tumesitisha mabadiliko ya vifurushi yaliyotarajiwa kufanyika tar.16/08/2021 mpaka utakapojulishwa tena. Asante!

Hata mi pia nimepokea huo Ujumbe
 
Back
Top Bottom