MABADILIKO YA VIFURUSHI: TTCL yakiondoa kifurushi chetu pendwa

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Apr 15, 2020
1,664
2,517
Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.
Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA.
Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL?

Hii kampuni inaenda shimoni wallah

Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine, mtandao gani unanifaa?
 
Wameongeza nini kwa sasa?
 
Karibu Halotel !
 
Bora aisee kimevunja ndoa nyingi sana.
 
Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.
Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA.
Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL?

Hii kampuni inaenda shimoni wallah

Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine, mtandao gani unanifaa?
Njoo Zantel
 
Back
Top Bottom