Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Nimeingia leo kujiunga kifurushi cha internet cha usiku chenye walau GB 5 mara paaah! Hakipo. Alafu wanajifanya kutuletea kifurushi kisichoisha muda kisicho na category ya internet pekee. Nimewavua thamani.
Mimi narudi voda rasmi... 3000 gb 3 haloteli 3000 gb 1? Ujinga huu
 
Ebu ingia kwenye code za vifurushi uone bei mpya , Yaani kumbe Aliongeza ili akomoe raia
Dah
Maendeleo hayana chama
 
Watu mpo faster... ila leo ni siku ya wajinga
titan51 njoo huku
Screenshot_20210401-051610.png
 
Back
Top Bottom