Mabadiliko ya uongozi cuf

miradibubu

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
312
84
Leo magazetini hasa gazeti la mwananchi limeelezea juu ya mabadiliko hasa ya wakurugezi na nafasi mbili za manaibu makatibu wakuu bara na visiwani yametangazwa, Kwa upande wa bara Ndugu Mtatiro ndio amekuwa naibu katibu mkuu.

Kilichonishangaza ni hizi Threads za jamii nforum kutoongelea chochote juu ya mabadiliko haya,, lakini je Mtatiro ataiweza hii nafasi na unadhani kwa nini amewekwa katika nafasi hiyo?
 
Kilichonishangaza ni hizi Threads za jamii nforum kutoongelea chochote juu ya mabadiliko haya,, lakini je Mtatiro ataiweza hii nafasi na unadhani kwa nini amewekwa katika nafasi hiyo?
Kwanza lazima tujue wakati Lipumba anafanya mabadiliko aliwasiliana na Makamba isije ikaleta tabu mbeleni.

Halafu Lipumba aachie ngazi amedumaza CUF bara kwani lazima awe yeye tuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom