busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,340
Maeneo mbalimbali ya nchi yetu yamekumbwa na UPUNGUFU wa MVUA hivyo kuletà hofu ya kuwepo kwa UPUNGUFU wa MAZAO ya CHAKULA na BIASHARA msimu huu wa kilimo. Maisha ya kila siku ya bin adamu yamekuwa yakitegemea "Hali ya hewa iliyo rafiki" pamoja na "Tabia ya nchi iliyo STABLE" ambazo zote kwa pamoja humwezesha bin adamu kuyapata mahitaji yake kwa wepesi na kwa kiasi kinachokidhi mahitaji.
Pale hali hii ya hewa na tabia hii ya nchi inapobadirika ndo majanga hutokea ikiwemo mafuriko, ukame, mioto ya msituni, ONGEZEKO LA JOTO DUNIANI ( global warming ) nk.
GLOBAL WARMING : Hii ni hali ambayo hutokea pale joto linapoongezeka duniani kama matokeo ya kuwepo kwa ONGEZEKO la HEWA UKAA ( increase of greenhouse gases ) katika Anga Hewa ( atmosphere ).
EMISSIONS hizi za greenhouse gases ( GHGs ) kwanza zimekuwa chanzo cha uharibifu wa tabaka liitwalo OZONE LAYER ambalo hupunguza madhara ya ULTRA VIOLET RAYS from The Sun kuja Duniani ..... pili hizi GHGs zina - trap THE SOLAR ENERGY hivyo kuwepo kwa ONGEZEKO la JOTO DUNIANI ( global warming )
Kwa kuwa "global warming" yasababishwa na ONGEZEKO la HEWA UKAA (greenhouse gases effects) hivyo ni jukumu letu kuzifahamu sababu/ vyanzo vya hizi GHGs EMISSIONS.
a) Sababu za kiasili ( natural causes )
b) Sababu za kibinadamu ( human causes
Tujadiri kundi la pili ( human causes ) maana ndilo tulilo na uwezo nalo...... Miongoni mwa sababu/ vyanzo ni kama ifuatavyo:-
Uvamizi wa Misitu ya Asili kwa kilimo ama makazi ( encroachment of forest reserves for either agriculture or settlements) ....
Uvunaji wa Misitu Usio Endelevu ( unsustainable harvesting/ logging) ....
Uchimbaji wa Madini Usio Endelevu ( unsustainable mining) ....
Uzalishaji Viwandani Usiofuata Sheria za Uhifadhi wa Mazingira ( industrial production which doesn't adhere to environmental impact assessment - EIA) ....
Mioto Kichaa ( wild fires ) .... Sababu zifuatazo zahusika:-
Maandalizi ya Mashamba kwa ajili ya kilimo ( field preparations )
Ulinaji Asali kutumia moto ( honey harvesting using fire ) ... njia hii hutumiwa sana na "bee hunters" and not "beekeepers"
Imani kwamba moto uwakao muda mrefu huongeza ukomo wa maisha ( some people's belief "myth" that the long-last fire increases one's life span ) ....
Uwindaji wa wanyama wadogo wadogo kwa kutumia moto ( trapping small wild animals in hunting using fire ) ....
Sababu zote zilizotajwa hapo juu na nyingine ambazo hazikutajwa huchangia UZALISHAJI wa HEWA UKAA ( emissions of greenhouse gases ).
Hizo ni sababu ( causes ) ambazo ziko ndani ya uwezo wetu kama wanadamu, hivyo kila mmoja wetu akiamua tunaweza kabisa kupunguza ONGEZEKO HILI la JOTO lisababishwalo pia na ONGEZEKO la HEWA UKAA .....
...... Karibuni kwa mjadala na kwa pamoja tujadili si tu visababishi vya ONGEZEKO hili la JOTO DUNIANI .... bali pia MADHARA yasababishwayo na ONGEZEKO hili la JOTO lililo chanzo kikuu cha MABADILIKO ya TABIA NCHI .....