nyembela
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 412
- 523
Wakati dunia inapambana kuweka Sheria za kulinda nchi na Mali zake kuzuia uharifu sisi tunatengeneza Sheria za kulinda waharifu, ukisema mtu hatoshitakiwa akifanya makosa maana ake umetafsiri alindwe akifanya makosa nihatari Sana hii kwamaana nyingine mtu huyu hatokuwa mwoga kufanya makosa, anajuwa hata akifanya hatoshitakiwa yeye atashitakiwa mtu mwingine ambaye nae atajitetea kwakusema yeye kazi take nikushauri serikali ktk masuara yakisheria juu ya utekelezaji siswala lake kesi itaishia hapo,mwabasheria anatafsir nakushauri tu,,