Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

Mimi nilikuwa nnikisikiw watu wanasema ni msafi nacheka tu nasema msafi hatumii nguvu nyingi kuwazuia wanaomsema bali hutumia nguvu nyingi kuendeleza usafi ili wanaomzunguka wote wajue yeye ni msafi hasa.Kazi zake zitaonesha yeye ni safi au mchafu sasa huyu wetu tangu aanze kubagua wapinzani nikajua huyu ni wale wale wajanjawajanja
 
Hii Serikali ya CCM ni ma HINTALAMWE wa Tanzania, hawaoni shida yeyote kumwaga damu za watu kwaajili ya madaraka. Inasikitisha sana.
 
Mimi mwenyewe nimejiuliza sana kama wanamsifu rais namna hii kuwa ndio mwadilifu kuanzia awamu zote nk why sasa leo wanatunga sheria ya kujilinda hivyo.Yaaninnilikuwa namwamininsana ila sasa ninawasisi huko tuendako Mungu tu atusaidie
 
Kwa upande wangu sijaelewa Magufuli kupeleka muswada bungeni wa kutoshitakiwa yeye na viongozi wote wa mihimili ya nchi kwa makosa wanayofanya wakiwa madarakani.

Inakuwaje mtu muadilifu, mcha Mungu, kiongozi wa wanyonge, mtu asiyependa rushwa na ufisadi akawa muoga wa kushitakiwa? Una hofu na uwoga gani unatarajiwa kufanywa au ushafanywa hadi kujiwekea kinga kubwa kiasi hicho?

Bila shaka anatuambia yeye sio msafi hata kidogo kwa sababu ukiwa wewe ni msafi unapata uwoga gani wa kushitakiwa?
kuna mambo ya kishetani wanataka kutufanyia 2020 - 2025 tukidanganyika kuwarudisha madarakani October.

#ondoazirailioctober2020
 
Katika kipindi hiki ambacho kuna janga la corona, kinga ni muhimu, labda ndio maana wanajiongezea😷
 
Mkuu magufuri hajawahi kuwa mwadilifu...ni mpigaji mnoo...na ndo maana toka nchi hii kuumbwa hapajatokea upotevu wa hela za umma Kama awamu hii ya 5...mwaka 2016 kuja 2017 imepotea sh. Tr 1.5,..hazijulikani ziliko...mwaka 2017 kuja 2018 imepotea 2.4 Tr hajulikani ilipo,, mwaka 2018 kuja 2019 i mm potea Tr 1.8..ukijumlisha unapata 5.7 Tr ambazo hazina maelekezo..ndo kisa akamuondoa prof.Assad maana jamaaa alimuumbua vilivyo... magufuri ni mchafu kuliko marais waliomtangulia...ndo maana sasa hd anaoiba nao ameamua kuwawekea kinga ya kutokushitakiwa... Kama kweli ww ni msafi kwnn uwe na hofu???
 
Mkuu magufuri hajawahi kuwa mwadilifu...ni mpigaji mnoo...na ndo maana toka nchi hii kuumbwa hapajatokea upotevu wa hela za umma Kama awamu hii ya 5...mwaka 2016 kuja 2017 imepotea sh. Tr 1.5,..hazijulikani ziliko...mwaka 2017 kuja 2018 imepotea 2.4 Tr hajulikani ilipo,, mwaka 2018 kuja 2019 i mm potea Tr 1.8..ukijumlisha unapata 5.7 Tr ambazo hazina maelekezo..ndo kisa akamuondoa prof.Assad maana jamaaa alimuumbua vilivyo... magufuri ni mchafu kuliko marais waliomtangulia...ndo maana sasa hd anaoiba nao ameamua kuwawekea kinga ya kutokushitakiwa... Kama kweli ww ni msafi kwnn uwe na hofu???
Mungu akuepushe na yaliyomkuta Lwajabe
 
Mungu akuepushe na yaliyomkuta Lwajabe
Yaani mkuu tunakazi na hii damu ya kinyarwanda, kwnza haitataka kuachia madaraka kutokana na uchafu iliyoufanya..pili kufunga watu kwa kubambikia kesi, tatu kuua na kutesa wapinzani wake wa kisiasa, ndani ya chama chake na nje ya chama chake..
 
Mungu akuepushe na yaliyomkuta Lwajabe

Jana niliulizwa unasababu gani ya kutomkubali Magufuli, kwa kweli jibu lililotangulia kinywani mwangu lilikuwa ni LWAJABE.

Hata angeilisha familia yangu asubuhi mchana na jioni huku nyuma ya pazia akiamrisha Mauaji ya kutisha namna ile kama ya Lwajabe, naapa kwa Mungu ningechagua familia yangu ife njaa hata kama sina uhusiano wowote wa kindugu na huyu Lwajabe.

Haya mauaji ya huyu bwana yamenipa chuki nzito sana, na uadui mkubwa ma Huyu Magufuli.
Hata angelikuwa amekosa vipi hakustahili hukumu ile ya mpaka kubakwa. Hii ni laana kwako Magufuli am telling you, hata ujielekeze vipi madhabahuni bado ni bure kabisa.

Huwa nasikia wakatoliki wananjia kadhaa ya kuomba toba kwa Mwenyeenzi Mungu, Najua naye ni mkatoliki, moja ya njia hizo ni Malipizi nadhani (i stand to be corrected mimi si muumini wa dini hiyo), kabla ya kujielekeza huko madhabahuni ingelikuwa vyema hili lingetangulia.
 
LWAJABE, Mungu huyu anaedhihakiwa Madhabahuni na wauaji wako na Ahukumu kwa kadri ulivyotendwa. Amen
 
Kwa muda mrefu kumekuwa na kilio cha wananchi kutaka Katiba mpya baada ya kuona iliyopo haiwafai tena.Lakini watawala wamekuwa wazito sana kuridhia katiba mpya,hata kuridhia mabadiliko madogo madogo ambayo wananchi wameona ingefaa yafanyike.

Cha kushangaza watawala wa awamu ya tano wametoa kipaumbele kwa kutengeneza Sheria mpya zinazoenda kuwalinda wao (watawala) kitu ambacho kinaibua maswali mazito Sana.

Lakini hali ya watawala kujitungia Sheria za kujilinda wenyewe na siyo wananchi waliowachagua,kinaonyesha ya ubinafsi waliyo nayo watawala. Mambo haya na mengine yanatia mashaka makubwa,ni wazi watawala hawa madaraka yamewanogea wanataka kuchonga mzinga.Ni kitu kimoja kimoja tu Mungu amewatia upofu na hawaoni tena kuwa Siku moja watakufa na kuacha madaraka waliyopewa na wananchi na sasa wao wameamua kuyamiliki kwa nguvu.

Wana macho lakini hawaoni,wana masikio Lakini hawasikii,wana pua Lakini hawanusi.
IMG_20200613_091422.jpeg
 
Back
Top Bottom