Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,890
awamu ya nne iliyomaliza muda wake tuliona wimbi la vijana kungangania nafasi za kujiunga na idara ya usalama wa taifa.
Thread humu zilikua hazikauki kwa maswali ya namna gani mtu anaweza pata ajira huko idarani.
awamu hii ya sasa: naona ukuu wa wilaya na mkoa umegeuka dili sasa. tunaona mpaka threads za kuomba nafasi hapa jamvini.
nilichojifunza ni kua watanzania tunapenda sana maujiko badala ya kuchukulia kwa uzito majukumu tunayoyatafuta.
badala ya kutanguliza sifa na ujiko tutangulize uzalendo kwanza.
ndio maana kuumaliza ufisadi inahitaji juhudi za makusudi kwani huko mtaani mtu akipata nafasi yoyote watasema flani kaula..
Tubadilike.