Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,086
- 8,219
Halafu ni mediatek
Uwa anacopy umbo anaweka na Os ya android yenye skin ya iOS
Uwa anacopy umbo anaweka na Os ya android yenye skin ya iOS
Hahahah hatareee bora angeweka ile hello nn sijui kidogo ina mvuto lakini hii mediatek ni rabishiHalafu ni mediatek
Mimi mwonekano wa iphone naoukubali na 5, 5s na 12 huzi za hapa kati sikuzielewa
H5IPhone 6 kumbe ya mwaka 2014? Na bado zinauzwa madukani
Hivi tecno ya mwaka huo ni IPI
Mediatek sio skin wala theme SijuiHahahah hatareee bora angeweka ile hello nn sijui kidogo ina mvuto lakini hii mediatek ni rabishi