Labda nikusaidie maana ya maneno hayo mawili kwanza.(funga na futari)
Kufunga nikujizuiya na kula(kwakukusudia) na kutenda mambo mabaya au dhulma ya aina yoyote kwa muda maalum.na si kukaana njaa kama ufikiriavyo.
Kwamfano:ukikaa na njaa siku mbili au hata moja bila ya kula kwakukikosa chakula tu, na sio kukusudia kutokula,hapo utakua umekaa na jaa(hii ndio njaa).
Kufuturu ni nikula chakula kwa wakati maalum baada ya kufunga. hapa na sema wakati maalum kwa kua ukifunga au ukikaa na njaa ikiwa hukula katika wakati unaokubalika itakua hukula futari bali umekula chakula cha kawaida.nimetumie neno kawaida kwakua wanaokula futari wanaamini kua kula futari pia ni ibada ikila kwa wakati wake..
natumai utakua umefaidika na chochote katika maelezo hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.