Mabadiliko ya mahakama kwa hukumu ya John Mnyika

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
hukumu ya mbunge jimbo la ubungo itafanyika katika mahakama kuu, badala ya mahakama ya kazi ya awali. kwa uhakiki wa hilo wasiliana nami kwa namba 0715-37 95 42
 
Mkuu hujaweka wazi! Uhakiki wa nini tena? Kama matokeo ya hukumu unayo si uyamwage hapa watu tushibe? Kuhamisha kesi naona kama sio dalili nzuri kwa Mnyika. Tuombe Mungu.
 
Mkuu hujaweka wazi! Uhakiki wa nini tena? Kama matokeo ya hukumu unayo si uyamwage hapa watu tushibe? Kuhamisha kesi naona kama sio dalili nzuri kwa Mnyika. Tuombe Mungu.

Mkuu nadhani wamehamisha ukumbi wa kutolea hukumu. Nadhani wameona kule mahakama kuu kuna ulinzi wa kutosha. Au unakumbuka yaliyotokea kwenye hukumu ya Makongoro na Mpendazoe iliyosomwa pale mahakama kuu?
 
hukumu ya mbunge jimbo la ubungo itafanyika katika mahakama kuu, badala ya mahakama ya kazi ya awali. kwa uhakiki wa hilo wasiliana nami kwa namba 0715-37 95 42

Lua hukumu si ni leo? Itasomwa saaa ngapi au nikupigie simu kujua hilo?
 
Last edited by a moderator:
nina mahaba na mapenzi yasiyo na kikomo kwa CHADEMA na mbunge wangu wa ukweli mnyika..ila hii kesi akishinda ntashangaa sana....vitu viko very tight kwa upande wake.....
 
umakini wa mnyika bungeni ni kama alivyokuwa slaa,ccm hawapendi hilo so i have a bad feeling concerning today's verdict,democracy can get raped by these money hungry crooked out stupid judges.
 
Back
Top Bottom