Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 976
- Thread starter
- #41
Vuta shuka vizuri uendelee kuotaKUDEAL NA PRIMITIVE NI LZM UWE PRIMITIVE ZAIDI YAKE,MUNGU WENU KAPATIKANA SAFARI HII KAPATA DAWA YAKE AMETUONEA SANA
Vuta shuka vizuri uendelee kuotaKUDEAL NA PRIMITIVE NI LZM UWE PRIMITIVE ZAIDI YAKE,MUNGU WENU KAPATIKANA SAFARI HII KAPATA DAWA YAKE AMETUONEA SANA
dawa ya jiwe ni nyundoVuta shuka vizuri uendelee kuota
Mini najua Prof Asdad alistaafu. Hebu eleza wewe ilikuwaje
Samahani mkuu; hivi ndio umejibu hoja kitaalamu?Usipende kuokoteza maneno ya mtaani
Hivi vitu unavyovijibu vipo juu ya uwezo wako, sana sana unajiabisha na kutaka tuanze kuipuuza hii ID yako, nenda kafundishe mwandiko huko, watoto wa darasa la pili wanakusubiri.Ukiwa unakaa nyumbani kwa baba yako halafu mzee akasema mwisho wa kurudi nyumbani Ni saa mbili usiku halafu wewe kisa umeota ndevu ukarudi saa 6 usiku halafu huna maelezo ya kueleweka bsi utacheza na mbu na baridi la usiku nje huko.
Matibabu yoyote ya nje ya nchi yanautaratibu, ukikiuka utaratibu uliowekwa hutakiwi kulalamika. Mfano halisi ni kuwa ili upelekwe nje ya nchi kimatibabu n lazima upite muhimbili pale halafu wao waseme kwa haoa huyu aende nje.
Mkuu wangu, hata mimi nina hisia na fikira kama zako. Nashangaa sanaa kwakweliNamkubari JPM amefanya mengi ila nakerwa na anavyowabana WAPINZANI najiuliza kwa nini awaogope kiasi hiki?
Kufundusha mwandiko watoto wa darasa la pili ni kazi ya heshima na iliyotukuka.Hivi vitu unavyovijibu vipo juu ya uwezo wako, sana sana unajiabisha na kutaka tuanze kuipuuza hii ID yako, nenda kafundishe mwandiko huko, watoto wa darasa la pili wanakusubiri
Utetezi ni muhimu na hatutaacha kwasababu kuna watu wanapotosha. Ukweli ni lazima usemweUtetezi wa nini??? Chema chajiuza kibaya chajitembeza na kutetewa. Ukweli utabaki kuwa ukweli
Mwanzo wa hesabu ni moja! Huo urais unaousema ameupata bahati mbaya - ndio alipoanzia, sasa ni rais bora Africa, kama siyo dunia nzima.Lissu ni jasri atayeongoza mabadiliko ya kweli nchini,magu hana historia ya kuongoza mchakato wa mabadiliko,uraisi ameupata kwa bahati tu.
Mwanamageuko,Samahani mkuu; hivi ndio umejibu hoja kitaalamu?
Baambie baambie bamutu habaelewiMwanzo wa hesabu ni moja! Huo urais unaousema ameupata bahati mbaya - ndio alipoanzia, sasa ni rais bora Africa, kama siyo dunia nzima.
Mwenzio Lissu hajauonja!
Acheni habari za kuokoteza na kumpamba mtu kwa mafanikio kidogo sana.Amefanya makubwa katika kipindi cha miaka mitano hii
Acheni habari za kuokoteza na kumpamba mtu kwa mafanikio kidogo sana.
Mafanikio makubwa ya pekee ya Magufuli yapo katika nini?
1) Ukuaji wa sejta ya kilimo umeanguka
2) Ukuaji wa uwekezaji umeanguka
3) Ukuaji wa sekta ya utalii umeanguka
4) Ukuaji wa soko la ajira umeanguka
5) Ukuaji wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo umeanguka
6) Ukuaji wa demokrasia umeanguka
7) Idadi ya km za barabara za lami zilizojengwa awamu hii haujafikia hata 40% ya awamu iliyopita
8) Uwekezaji ulifanyika kwenye sekta ya afya, hospitali zote zilizojengwa awamu hii, katika thamani haufikii hata hospitali moja tu kama ile ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, iliyojengwa awamu iliyopita. Hapo ukiachilia nyingine kama za Mloganzila na ya Benjamin Mkapa
9) Ndege - mwalimu Nyerere alinunua 13 ndege mpya za kisasa
10) Bwawa la umeme - huko nyuma yalijengwa mabwawa kama Mtera, Kihansi na Kidatu
11) Reli - mwalimu alijenga reli ya kisasa kwa wakati wake ya TAZARA
12) Viwanda - wakati wa mwalimu tulikuwa na viwanda vya kila aina, mpaka vya kuunganisha malori aina ya Scania pale Kibaha, kiwanda cha kuunganisha matrekta ya kiwango cha juu kabisa aina ya Valmet, tulikuwa na kiwanda cha baiskeli aina ya swala, tikuwa na vituo mbalimbali vya utafiti na sayansi, n.k.
Sasa hayo makubwa ya ajabu ambayo Maguguli amefanya ambayo watangulizi wake hawakuwahi kufanya ni yapi?
Wewe unaweza kuwa mjinga lakini usiwafanye watu wote wajinga.
Magufuli amefanya machache amvayo ameweza kufanya. Na kwa kweli amefanya pungufu sana kuliko aliyofanya Mwalimu Nyerere, Mkapa na Kikwete.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri "Magufuli amefanya makubwa ndani ya miaka mitano"Acheni habari za kuokoteza na kumpamba mtu kwa mafanikio kidogo sana.