Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Kumekuwa na sintofahamu miongoni mwa watanzania hasa wapenda demokrasia. Majuzi ccm wamefanya baadhi ya mabadiliko makubwa ya katiba yao ambayo wanasema yataleta ufanisi mkubwa ndani ya chama na serikalini...pamoja mabadiliko hayo vyombo vya habari vimeripoti kuwa ni pamoja na rais na mwenyekiti wa ccm kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020 ndani ya chama.. Baada ya taarifa hizo kusambaa polepole amekuwa akikanusha mitandaoni bila kuja adharani na kusema hali halisi...
Wana ccm ukweli ni upi??
Wana ccm ukweli ni upi??