Mabadiliko ya baraza la mawaziri, jk kuitisha bunge la dharura

lakini aliyekuwaga mtoto wa mkulimaa anaoneka amechoka jamaa amwache apumzike hawezi kwenda na kasi ya 3G ya JK huku mawaziri/manaibu wanaibiwa gesti malima adam kighoma
 
Last edited by a moderator:
Kamati kuu kuridhia baraza la mawaziri kuvunjwa au "cabinet reshuffle". Huu ni upuuzi! Tangu lini kamati kuu ikahusika na kuunda au kuvunja baraza la mawaziri. Yaani zama zimebadilika lakini watu wazima wanafanya mambo kama watoto wa shule ya vidudu. Ni kama zile sarakasi za kuhutubia wazee wa Dar es salaam kwenye mambo ya msingi ya kitaifa,wakati wazee wenyewe wakisinzia kwa kuwa asubuhi yake hawakuweza kunywa chai,sukari bei juu!

CCM inafanya mambo ya kipuuzi na serikali nayo inafanya mambo ya kipuuzi sasa tumwamini nani? Halafu kuna mpuuzi mmoja anasema kuwa Rais ni msikivu,yaani mpaka watu wamtie vidole machoni ndo atekeleze majukumu yake?
 
Kamati kuu kuridhia baraza la mawaziri kuvunjwa au "cabinet reshuffle". Huu ni upuuzi! Tangu lini kamati kuu ikahusika na kuunda au kuvunja baraza la mawaziri. Yaani zama zimebadilika lakini watu wazima wanafanya mambo kama watoto wa shule ya vidudu. Ni kama zile sarakasi za kuhutubia wazee wa Dar es salaam kwenye mambo ya msingi ya kitaifa,wakati wazee wenyewe wakisinzia kwa kuwa asubuhi yake hawakuweza kunywa chai,sukari bei juu!

CCM inafanya mambo ya kipuuzi na serikali nayo inafanya mambo ya kipuuzi sasa tumwamini nani? Halafu kuna mpuuzi mmoja anasema kuwa Rais ni msikivu,yaani mpaka watu wamtie vidole machoni ndo atekeleze majukumu yake?
karibu jamvini mkuu wangu,hii ni moja ya viashiria la anguko la CCM! Katiba ya nchi iko wazi,alichofanya JK leo ni kujivua lawama kwa mabadiliko yoyote yatakofanyika ,yaonekana hata wenzie ktk chama wameridhia! viongozi wajaja wote ndani ya CCM wameisha tambua anguko la chama chao,na wamekuawa busy kutafuta jinsi ya kujinusuru baada ya anguko! kwa hiyo mabadiliko yoyote yatakayofanyika ni kutuliza maumivu siyo tiba! wanachelewesha muda wa maamuzi!
 
Iwe ameshinikizwa na watanzania ama na chama chake au vipi lakini kwa kifupi ni kwamba Rais ni msikivu. Watanzania wameonyesha kukerwa kwao na utendaji wa mawaziri na Rais ameliona hilo na analifanyia kazi. Hii ni dalili nzuri ya kuwasikiliza wenye nchi.

Hapa inaonekana Rais atalivunja Baraza lote la Mawaziri na kuliunda upya. Si ajabu kweli akaitisha bunge la dharura ili kumpata waziri mkuu mpya. Hata kama atakuwa huyo huyo lakini akishavunja baraza inaanza upya na itabidi apitishwe na Bunge. Hakika hapa naona bunge la dharura wiki ijayo.
Hatuna rais msikivu! tuna rais muoga anayefanya kazi kwa shinikizo na siyeweza kutumia akili yake au ya washauri wake kufanya mabadiliko na maamuzi at right time! tuliona kwenye kesi ya madaktari! Anafanana sana na kocha ambaye timu yake uwanjani imeelemewa kutoka na uzembe wa baadhi ya wachezaji, baada ya kelele nyingi za mashabiki ndipo anafanya mabadiliko, huyu sio kocha msikivu ni kocha mzembe asiweza kuona matatizo ya timu yake bila makelele ya mashabiki, this also applies to the so called 'president' hawezi kuona matatizo na uzembe wa watendaji walio chini yake hadi kelele zipigwe na wananchi na wabunge waanze utaratibu wa kutokuwa na imani na waziri mkuu ndipo ajitokeze na kusema atachukua hatua,,kumbuka mpaka sasa hajachukua hatua,..ameahidi tuu labda anasubiri ushauri wa mke wake au watu wengine kwanza!
 
kwanza nimpongeze Rais wa Jamhuri ya muungano, mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM chama tawala) kwa kufata taratibu za kidemokrasia kufikia maaamuzi yenye faida kwa taifa letu na chama chake cha mapinduzi.

hii ni serikali ya CCM na imeundwa baada ya kupata ridhaa ya wananchi baada ya kushandanisha sera za vyama mbali mbali na wananchi kuridhia CCM iongoze nchi. na wananchi hao hao baada ya kuona mambo hayaendi sawa wamepaza sauti yao kuonyesha wasivyoridhia baadhi ya mambo kwenye serikali walioichagua, wamepaza sauti kupitia wabunge wao wa vyama mbali mbali ikiwemo wa CCM.

kutokana na hayo wabunge wa CCM wenyewe wakiwamo mawaziri chini ya waziri wao mkuu walikutana na kujadili hali hio Dodoma, na wakafikia baadhi ya maamuzi fulani, ambayo kwa kufata busara na utaratibu wa chama wakaona wayafikishe kwenye Kamati kuu kwa utendaji na maamuzi.

Taarifa ziliwekwa mezani ni za serikali zote mbili zinazoongozwa na CCM ya zanzibar na ile ya Jamhuri ya Muungano. kwa hio hii ni kuonyesha jinsi gani chama cha mapinduzi kilivyoamua kidhati kufata taraibu za kidewa ni chamamokrasia na kuonesha kuwa ni chama madhubuti kisichoyumba wala kuogopa dharouba
 
Back
Top Bottom