Mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar, 1984: Kipi Hasa Kilichobadilika?

HERI YA MWAkA MPYA WANA JAMII WOTE

NAOMBA YEYOTE MWENYE KATIBA YA ZANZIBAR AIPOST HAPA,BAADA YA KUISOMA MARA TATU NNE KATIBA YA JAMHURI SASA NAFIKIRI NAHITAJI PIA KUISOMA NA KUIELEWA KATIBA YA ZANZIBARI KABLA YA KUANZA KUTOA MCHANGO WANGU KUHUSU HOJA ILIYO MBELE YATU YA KATIBA MPYA.

TAFADHALI
 
Hakuna kitu kama "Katiba ya Tanganyika," ni kama Wazanzibari wameamua kuiunda Tanganyika kiaina!
Tanganyika was an East African territory lying between the Indian Ocean and the largest of the African great lakes: Lake Victoria, Lake Malawi and Lake Tanganyika. From 9 December 1961 to 26 April 1964 it was also an independent state.
Once part of the colony of German East Africa (German: Deutsch-Ostafrika), it comprised today's Rwanda, Burundi, and Tanzania with the exclusion of Zanzibar.

After World War I the parts that are today's Rwanda and Burundi became a League of Nations mandate governed by Belgium. The major part, however, came under British military rule and was transferred to Britain under the 1919 Treaty of Versailles.

This was confirmed by a League of Nations Mandate in 1922, later becoming a United Nations Trust Territory. Britain changed the name to the Tanganyika Territory.

On 9 December 1961 Tanganyika became independent as a Commonwealth Realm, and on 9 December 1962 it became the Republic of Tanganyika within the Commonwealth of Nations.

In 1964, it joined with the islands of Zanzibar to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar, later in the year changed to the United Republic of Tanzania.

Although Tanganyika still exists within Tanzania, the name is no longer used formally for the territory.

This pAge is about Tanganyika rebirth and find her soul, her people and culture and come back to life.

TANGANYIKA IS REBORN
 
Bw. Buchanan nakupa hongera kwa jitihada zako za kutuletea vifungu vya katika ya 1984. Imetufungua macho. Kwa kweli likija suala zima la katiba, sisi wazanzibari tumefika kwenye "conclusion" kuwa:-
a) Muungano sio halali. Muungano huu hauna baraka la bunge wala baraza la wawakilishi. Muungano huu ulikuwa ni wa Nyerere peke yake hata raisi wa Zanzibar - Karume hakuhusishwa. Karama Karume alihusika basi katika waraka tungeliona alipotia saini ya muungano.

b) Haukuwa na ridhaa ya wananchi wa Zanzibar. Udikteta wa Nyerere ndio ulitufikisha hapa.

Kuna mengi mengine lakini kama alivosema Nyerere katika OAU Addis Ababa, muungano wetu ni kama koti likkubana unaweza kulivua. Sisi wazanzibari tunasema kwa sauti moja kabisa kuwa:- "KOTI LINATUBANA WAKATI UMEFIKA KULIVUA".
Liloko sasa hivi ni suala la kuvunja muungano wala sio kubadilisha katiba sababu sisi hatuwezi kuikubali katiba bila ya ridhaa ya wananchi wa Zanzibar.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom