Mabadiliko: Viongozi wa wamachinga kufanya Press Conference Ofisi za Wamachinga Kariakoo badala ya Serena Hotel

Wazo Kuu

Member
Oct 21, 2018
74
150
WAMACHINGA.jpeg

PIA, SOMA:
- Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
5,263
2,000
Mi siku nilipoona kiongozi wa watu wanaoishi na VVU hafu yeye hana, na mwingine katibu wa nini sijui ya watu wenye albinism hafu yeye hana u-albinism nilichoka.

Utakuta hadi kwenye vyama vya wanawake kuna viongozi wanaume.
Na haya yanatokea Tanzania peke yake.
 
ngawia

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
510
500
Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi then ni kada wa chama....Kuna nn tena hapo bongo bhana inafurahisha sana
 
King Sae

JF-Expert Member
Mar 22, 2018
1,809
2,000
Mi siku nilipoona kiongozi wa watu wanaoishi na VVU hafu yeye hana, na mwingine katibu wa nini sijui ya watu wenye albinism hafu yeye hana u-albinism nilichoka.

Utakuta hadi kwenye vyama vya wanawake kuna viongozi wanaume.
Kwenye msafara wa mamba kenge hakosagi...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom