Mabadiliko Polisi: Kamanda aliyetoa amri ya kukamatwa wanaowakoholea wanawake ahamishiwa mkoa mwingine

Nadhani lile agizo halihusiani na kuhama,,,au linahusiana ila wameamua kutengeneza mazingira pasiwe na uhusiano
 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini na Magharib Hassan Nassir, 14/05/2018 amebadilishwa kituo cha kazi.

Hassan Nassir ndiye aliyesema kwamba atawafungulia mashtaka ya shambulio la aibu la wale wote watakao wakoholea wanawake watakao wapitia mbele yao.
Kauli ambayo ilileta utata kubwa katika mitandao ya kijamii

Kamanda huyo amehamishwa Mkoa wa Kusini Pemba kwenda kuendelea na kazi katika Mkoa huo ingawa haikuelezwa sababu ya kuhamishwa Hilo.View attachment 779253
amepelekwa kaskazini pemba mbona ww unasema kusini?
 
Hakuna uhusiano wowote, hiyo list ilishaandaliwa mapema kabla hajanena hayo maneno ya shambulio la aibu.
 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini na Magharib Hassan Nassir, 14/05/2018 amebadilishwa kituo cha kazi.

Hassan Nassir ndiye aliyesema kwamba atawafungulia mashtaka ya shambulio la aibu la wale wote watakao wakoholea wanawake watakao wapitia mbele yao.
Kauli ambayo ilileta utata kubwa katika mitandao ya kijamii

Kamanda huyo amehamishwa Mkoa wa Kusini Pemba kwenda kuendelea na kazi katika Mkoa huo ingawa haikuelezwa sababu ya kuhamishwa Hilo.View attachment 779253
Jeshi ni amri moja."Ameamuru"
 
kwa zama hizi si vyema kubandika taarifa kama hizi mtandaoni
ramadham kareem
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amemteua Naibu Kamishna wa Polisi, Maulid Makabila kuwa Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (D/DCI) Zanzibar, huku akifanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa.

Kabla ya uteuzi huo, Makabila alikuwa mkuu wa kitengo cha kuzuia uhalifu makao makuu ya Polisi Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Mei 17, 2018 na msemaji wa polisi, Barnabas Mwakalukwa imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo aliyekuwa DCI Zanzibar, Ramadhan Ng’anzi ameteuliwa kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kuchukua nafasi ya Charles Mkumbo aliyehamishiwa makao makuu ya upelelezi, Dar es Salaam.

Aliyekuwa kamanda wa polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Hassan Nassir Ali anakwenda kuwa kamanda wa polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba. Nafasi yake imechukuliwa na Kamishna Msaidizi wa polisi, Thobias Sedoyeka aliyekuwa makao makuu ya upelelezi Dar es Salaam.

“Kamanda wa polisi mkoa wa Kusini Unguja, Makarani Khamisi amehamishiwa makao makuu ya upelelezi Zanzibar na nafasi yake kuchukuliwa na kamishna msaidizi wa polisi, Suleiman Hassan aliyekuwa mkuu wa upelelezi Mkoa wa Kaskazini Unguja,” anasema Mwakalukwa katika taarifa hiyo.

Aliyekuwa kamanda wa polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Hasina Ramadhani Taufiq anakuwa ofisa mnadhimu makao makuu ya polisi Zanzibar na nafasi yake inachukuliwa na kamishna msaidizi, Haji Abdallah Haji aliyekuwa ofisa mnadhimu Mkoa wa Mjini Magharibi.

Taarifa hiyo inaeleza mabadiliko hayo ni ya kawaida yenye lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji kazi.
 
Rais JPM naye afanye mabadiliko katika Baraza lake la Wawaziri na Makatibu Wakuu. Wengi wa Mawaziri wameishiwa na pumzi kabisa
 
Back
Top Bottom