Mabadiliko nchini yataletwa na mambo mawili

Si Wameshapewa Mahakama ya Kadhi? Unataka nini tena

M4C si kwa Ajili ya Wakristo/Waislam pekee ni Kwa WATANZANIA WOTE. Ukisema Mambo ya Waislam yaingizwe hata Wakristo Na Wapagani Wanamambo Yao pia wanataka Yatambulike.
Hatutaki UDINI NA UBAGUZI nchini tunataka Amani kwa Watu wote itakayoletwa na Serikali itakayo tambua Nini Mtanzania anataka Maisha Bora si Mahakama wala Misalaba
 
Eliah G Kamwela says thanks for this very useful post.
 
Si Wameshapewa Mahakama ya Kadhi? Unataka nini tena

M4C si kwa Ajili ya Wakristo/Waislam pekee ni Kwa WATANZANIA WOTE. Ukisema Mambo ya Waislam yaingizwe hata Wakristo Na Wapagani Wanamambo Yao pia wanataka Yatambulike.
Hatutaki UDINI NA UBAGUZI nchini tunataka Amani kwa Watu wote itakayoletwa na Serikali itakayo tambua Nini Mtanzania anataka Maisha Bora si Mahakama wala Misalaba
Wamepewa mahakama ya kadhi ambayo haikuwa agano lao na serikali ya ccm. walitumiwa na ccm kama ngazi ya kufikia lengo la kushika Dola, japo ilibidi kuongeza nguvu ya Dola kushika Dola. M4C kweli ina lengo la kuleta ahueni kwa wote; wakrito, waislam, wapagani, n.k. lakini tunajua yanayotokea sasa, kwamba mfumo tawala unajaribu kibadili M4C kuonekana ni mfumo na mchakato wa kikanda, kidini na kikabila. Sasa ili uonekane kweli wa kidini, M4C ichukue ajenda ya mahakama ya kadhi ili ccm iongee zaidi
 
Mimi nakataa kabisa kuhusisha udini au dini au kabila katika kuleta mabadiliko yeyote nchini. Madhara ya huko mbeleni ni mabaya sana!!
 
MAHAKAMA ya KADHI NI KWA AJILI YA AKINA NANI?? Naomba unijibu tu hapa

1. Pesa zako unazotoa Mfukoni unapeleka TRA zikamlipe Hakimu wa kesi za kiislam

2. Bungeni Watenge bajeti kwa ajili ya Mambo ambayo hayamletei faida Mtanzania bali Mwislam

3. Unataka Katiba itamke kuwa "Kutakuwa na Mahakama ya kadhi kwa Ajili ya Waislam"??

Kama CCM imewahujumu ni kwa sababu hawakuona Mbali na wajifunze kufikiria vizuri.
 
M4C ichukue hii ajenda na itoe ahadi kwa waislam kuwa mahakama ya kadhi ni halali yao pale cdm itakaposhika Dola.

Hii ni hatari kuliko maelezo yaani watu waahidiwe jambo ambalo chama hakiliamini kuwa sawa eti tu kwa sababu ya kupata support? Na isiwe hivyo!!
 
Mimi nakataa kabisa kuhusisha udini au dini au kabila katika kuleta mabadiliko yeyote nchini. Madhara ya huko mbeleni ni mabaya sana!!
sijajua unazungumzia mbeleni wapi mkuu, ila so far ccm wameshapandikiza hiyo mbegu ya udini.
 
MAHAKAMA ya KADHI NI KWA AJILI YA AKINA NANI?? Naomba unijibu tu hapa

1. Pesa zako unazotoa Mfukoni unapeleka TRA zikamlipe Hakimu wa kesi za kiislam

2. Bungeni Watenge bajeti kwa ajili ya Mambo ambayo hayamletei faida Mtanzania bali Mwislam

3. Unataka Katiba itamke kuwa "Kutakuwa na Mahakama ya kadhi kwa Ajili ya Waislam"??

Kama CCM imewahujumu ni kwa sababu hawakuona Mbali na wajifunze kufikiria vizuri.

Mathalan serikali ikasema inaitambua mahakama ya kadhi na ikatenga kama bil 2annually kwa ajili ya kuiendesha. Halafu kwa kuona mbali ikasema kuwa kutakuwa na malalamiko, ikatenga tena bil 2 kwa wakristo na wapagani (kama watazihitaji). Na kama kutakuwa na gharama za ziada watawajibika wa imani husika, kwani haliwezekani. Na ziwe katika mfumo wa ruzuku.

Kama ruzuku huwa zinatolewa kwa vyama vya siasa na taasisi na sekta mbalimbali kama kilimo, iweje kwenye masuala ya imani lishindikane? Ni suala la kukaa na wadau na kupanga namna ya kupeana hicho kiasi.
 
Back
Top Bottom