Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
Wakuu,
Nasikitika kuwatangazia kuwa tunahamisha data kutoka Center moja kwenda nyingine. Hii itasababisha nameservers kubadilishwa na hivyo kwa wale ambao wanaitembelea JF mara kwa mara huenda wakawa anapata shida kuwa haipatikani.
Hii inaweza kuwagharimu wengine masaa 24 hivi mpaka nameservers zibadilike sawasawa kwao.
Kila jambo tunalifanya kwa dhamira njema kabisa.
Tunaomba tutakapofunga kwa muda, mtu afanye ku-CLEAR COOKIES, na kuondoa CACHES kwenye browser yake.
Inakuwa ngumu kuelekeza kila mmoja jinsi ya kufanya hivi, naamini mtu unaweza kumwuliza mtu wa karibu jinsi ya kufanya kitu kama hicho, uliza katika google "How to clear cookies and clear caches on my computer" kisha utaelewa namna gani ya kufanya.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza. Usumbufu huu utajitokeza tena 2011 mwezi kama Aprili hivi...