Mabadiliko MUHIMU ndani ya JF

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Wakuu,

Nasikitika kuwatangazia kuwa tunahamisha data kutoka Center moja kwenda nyingine. Hii itasababisha nameservers kubadilishwa na hivyo kwa wale ambao wanaitembelea JF mara kwa mara huenda wakawa anapata shida kuwa haipatikani.

Hii inaweza kuwagharimu wengine masaa 24 hivi mpaka nameservers zibadilike sawasawa kwao.

Kila jambo tunalifanya kwa dhamira njema kabisa.

Tunaomba tutakapofunga kwa muda, mtu afanye ku-CLEAR COOKIES, na kuondoa CACHES kwenye browser yake.

Inakuwa ngumu kuelekeza kila mmoja jinsi ya kufanya hivi, naamini mtu unaweza kumwuliza mtu wa karibu jinsi ya kufanya kitu kama hicho, uliza katika google "How to clear cookies and clear caches on my computer" kisha utaelewa namna gani ya kufanya.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza. Usumbufu huu utajitokeza tena 2011 mwezi kama Aprili hivi...
 
Naomba utueleze faida ya ku-CLEAR COOKIES na kuondoa CACHES ili tujue sababu ya kufanya hivyo!
Google utapata maelezo na faida yake. Kwa lugha rahisi inasaidia kufuta kumbukumbu zilizohifadhiwa baada ya kutembelea tovuti tofauti.
 
hivi ni gender sensitive
au sensitiv??????
The boss we mchokozi sana nimeshakuona..Kumbuka ID zina limitation of words kama jina lako ni refu sana halikubali.Ni Gender Sensitive,Invisible ksema atanibadilishia..lakini pia ni boss sensitive.
 
Invisible, Nenda kale na kalale... nimewatuma vijana wakuletee chakula huko sijui kama wataweza kukuona..
 
Wakuu,

Nasikitika kuwatangazia kuwa tunahamisha data kutoka Center moja kwenda nyingine. Hii itasababisha nameservers kubadilishwa na hivyo kwa wale ambao wanaitembelea JF mara kwa mara huenda wakawa anapata shida kuwa haipatikani.

Hii inaweza kuwagharimu wengine masaa 24 hivi mpaka nameservers zibadilike sawasawa kwao.

Kila jambo tunalifanya kwa dhamira njema kabisa.

Tunaomba tutakapofunga kwa muda, mtu afanye ku-CLEAR COOKIES, na kuondoa CACHES kwenye browser yake.

Inakuwa ngumu kuelekeza kila mmoja jinsi ya kufanya hivi, naamini mtu unaweza kumwuliza mtu wa karibu jinsi ya kufanya kitu kama hicho, uliza katika google "How to clear cookies and clear caches on my computer" kisha utaelewa namna gani ya kufanya.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza. Usumbufu huu utajitokeza tena 2011 mwezi kama Aprili hivi...

Invisible

Pamoja na kufanya hii kazi ya kuhamisha etc. etc. Kuna members more than 15000 mbali ya wale wanaopitia tu. Huwezi kufanya tangazo in one day na kufunga that same day, fikiria vile vile time difference and not only that you can e-mail all members in one click. Well what can I say, BRAVO for what you did.
 
Mkuu ilikuwa URGENT, na hata sisi tulitamani kutoa muda wa kutosha. Unapoona kunakuwa na kushtukiza hivi ujue si kawaida, zimamoto haihitajiki lakini inapotokea ujue basi kuna jambo mkuu wangu. Lakini yote ni katika kuongeza ufanisi.

Labda nitumie fursa hii kuwaomba kuwa baada ya masaa kama matatu yajayo mtupe fursa ya lisaa limoja la kurekebisha kitu kimoja tu; cha mwisho ambacho ni muhimu kwa walio Tanzania na kwingineko ambako internet iko slow, tuongeze loading speed ya JF!

Itasaidia SANA, tukivumiliwa kwa muda huo tu basi tutakuwa tumekamilisha zoezi zima kwa ujumla. Kuna mambo mengine vigumu kuwaeleza moja kwa moja hapa... Sababu wengine mnajua na wengine hamtataka kujua!
 
Back
Top Bottom