Mabadiliko makubwa yanaonekana znz ndani ya mwezi mmoja tu...

Calipso

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
284
15
Kukiwa na madai mengi kutoka chama cha chadema dhidi ya cuf,ambapo binafsi niliwahi kuzungumza kuwa chadema ipo dhidi ya cuf sio ccm,nikapingwa na watu ambao upofu huita kengeza... mambo mengi yametokea kabla ya uchaguzi na sasa yanajionseha wazi baada ya uchaguzi.. hali ya kusema kwa Dr Slaa SASA UPEPO UMEBADILIKA ndipo watu wengi walianza kushtukia kuwa chadema sio chama cha upinzani bali shina la chama cha Mapinduzi kuja kuua upinzani.. Hali halisi ilizidi kujidhihirisha pale mgombea wa Urais wa Cuf alipofika baadhi ya maeneo kwenda kufanya mkutano,chadema walifanya mikutano yao eneo hili na mpaka mikutano mengine wakaivamia na kufanya vurugu,ambapo utaratibu wa tume ya uchaguzi ambapo vyama vyote vya siasa vilitia saini,ni kuwa endapo mgombea Urais atafanya mkutano basi vyama vyengine havitoruhusiwa kufanya mikutano yao mengine kama ya wabunge,madiwani..

Si hivo tu sasa chadema baada ya uchaguzi wamekuja na mapya,na la kushangaza mpinzani wao amekuwa ni Cuf sio ccm tena, kuingia bungeni tu chadema wakateuana vyeo wenyewe kwa wenyewe na kutoa tamko wao wanajitosheleza wenyewe kuunda serikali kivuli,then washachaguana ati ndo wanawaambia cuf tupo tutakushirikisheni ktk serikali yetu lkn kwa masharti... Hamad rashid akawajibu mumetufanyia mengi kwenye uchaguzi acha kwanza tutibu majeraha,halafu hamuwezi kutupa masharti ati tusishirikiane na vyama vyengine vya upinzani,yaani (NNCR,TLP,UDP) msituchagulie marafiki...huo si upinzani,upinzani wa kweli ni kuungana wote kwa pamoja dhidi ya chama tawala..

Walipoona hapo wameshindwa na wamejitia aibu wenyewe,sasa ili wasionekane wao chadema kama wana makosa wakaja na jipya,ati nyinyi cuf mpo pamoja na ccm,sasa sisi hatuwezi kushirikiana na nyinyi,walipojibiwa hata nyinyi mnashirikiana na ccm baadhi ya mikoa, wakaja na jipya ati nyinyi Cuf mumevunja katiba ya Muungano kwani nchi yetu ni serikali mbili kuelekea moja... SASA NAULIZA???? Pale Dr slaa ktk mkutano wake wa mwembe yanga aliposema kuwa endapo mtaichagua chadema na kuongoza serikali, Tutaunda serikali tatu,ya znz,tngka,na ya Muungano.. JE! ALIKUWA MNAFIKI? je chadema wana ilani mbili tofauti za uchaguzi? je hapo wasingevunja katiba? au wanarukia rukia tu ilani za watu wao hawana jipya? ndio maana imewashinda njiani?

Yapo mengi sana.. tena tunamwambia tundulusulusu nyamaza kimya znz haikuhusu wewe,wameshindwa babu zako ujekuwa wewe,endelea kutufumbua macho tu kama alivofanya Mizengo Pinda halaf uone huo mziki wake...

Chadema hawajui nini lengo la chama.. Lengo kuu la chama ni kushika madaraka ili kuwaletea wananchi maendeleo.. Cuf kama chama kipo standby kuchukua nchi anytym,na ndio maana ccm hawana njia mpaka kukubali cuf kuwemo serikalini baada ya Cuf kuwabana kisawa sawa, na lengo la kuingia Cuf serikalini ni hatua ya kwanza hii,sasa tunajieka tayari kuchukua nchi rasmi uchaguzi ujao,kwani sasa na sisi tumeshika mpini vile vile kama wao ccm,wanalolifanya tunalijua,na wakati tupo ndani kuna mabadiliko ,makubwa ya katiba yatakuja ili kuhakikisha uchaguzi ujao wa znz unakuwa wa huru na hakki na sisi cuf tunachukua nchi kirahisi...

Ndani ya mwezi mmoja tu Cuf kuingia serikalini pamoja na kuwa hatuna wizara zote,lkn hizo chache tulokuwa nazo mabadiliko makubwa tayari yanaanza kuonekana.. chini ya cuf wizara ya afya,ukienda spitali za serikali sasa ni marufuku kumpelekea chakula mgonjwa wako,wanapewa chakula kizuri tu,vitanda safi,mashuka mapya,spitali ukiingia kwa jumla safi.. dawa nazo hivi sasa bure,kutibiwa bure,na ukienda unatibiwa haraka haraka.. ukija biashara ambayo nayo ipo chini ya cuf, mpaka kwenye tv wametoa mchele wa mapembe ulivorudishwa kwao baada ya mfanya biashara mmoja kuleta,madukani vyakula vibovu vyote vimetolewa na hatua kali zinachuliwa,sasa unakuja mchele mzuri tu tena mwingi na upo njiani na kwa bei ambayo mwananchi ataweza kuimudu...

Wakati wa Karume na salmin hatukusikia kukamatwa madawa ya kulevya airport,kitengo hichi cha madawa ya kulevya chini ya Makamo wa kwanza Maalim seif,na wizara ya mawasiliano na uchukuzi amabyo ipo chini ya cuf washakamata madawa ya kulevya mara 3 tokea tuingie madarakani,na msako mkali unaendelea kwa wale wote wanaoshiriki kuleta.. na mtu miteja inayoonekana njiani inakamatwa wamapelekwa sehem zao maalum ili kuwasaidia..

Wizara ya michezo na habari,ambayo nayo ipo mikononi mwa Cuf tunaona vijana wa znz wavofanya vitu vyao kwenye challange..

Nidhamu sasa serikalini imerudi,wafanyakazi,wana nidhamu ya hali ya juu..

Sasa hili ndio lengo la upinzani, upinzani ni kuchukua madaraka ili kuwaletea maendeleo wananchi,tusiwe wachoyo tukiona nchi ya mwenzako inaendelea,kwani kuendelea kwake ndio na wewe mafanikio yako,kwani yeye ndie atalaekusaidia wewe kupata na wewe hakki yako ya msingi... Yako mengi sana lkn mda hautoshi,naona nimalizie tu hapa..

Wa Tz tuweni kitu kimoja ili tulete maendeleo,endapo sisi wapinzani tutakuwa tunabaguana watawala watazidi kujinufaisha matumbo yao,kwani tunajua ni jinsi gani tawala za kiafrika zilivo ngumu kutoa serikali hazikubali, CUF wameteseka saana viongozi wake,wapo waloekwa ndani miaka mitatu kina hamad rashid,duni na wengine, wapo waloekwa ndani kwa ajili ya kutete nchi kama Maalim seif alikaa ndani sana, tumeona Pr Lipumba mpaka kavunjwa mkono kwa ajili ya kudai katiba na uchaguzi huru na wa hakki,mikutano ilikuwa hairuhusiwi lkn baada ya maandamano yale ambapo Lipumba alipigwa na polisi mpaka kuvunjika mkono tumeona matunda yake,mikutano tunafanya bila ya bughdha....
 
Mambu bado ni mapema sana ,karibuni wataielewa CUF ,hivi wanaelewa kuwa Raisi wa Zanzibar ni Maalim Seif ,asiejua haambiwi maana.
 
kinachoonekana hapa ni kuwa Cuf wamepata inji yao Zanzibar..huku bara lkalaghabaho!

na sisi tunataka inji yetu. chakula bure hospitali kwa ruzuku ipi? hii hii ya muungano?
 
Tanganyika ,usiwe na wasi mipango ipo njiani na si Chadema wala CCM bali CUF ndio watakaoirudisha Tanganyika ,andika hii.
 
KWANI NA NYINYI CUF ni wapinzani kwa sasa?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.tz bara unawabunge wangapi?. hoja yako ni zaifu haiwezi jadiliwa na watu wenye akili zao. kaa utulie ulete vitu vya maana wana JF tujadili. na hatuwezi kuzungumzia kuwa CUF kwa siasa za tz NAO WAPINZANI NOOOO. WAPINZANIA NOW NI CHADEMA TU HATA UONE WIVU UKWELI NDO HUUOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

PEOPLEEEEEEEEEEEEE POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Mna ndo ya mkeka na ccm ,mnatekeleza sera za ccm mnakitu gani kipya kama cuf kwa sasa hakuna kwishedeee
 
Cuf haiwezi kuleta maendeleo yeyote kwa kuwa sehemu ya serikali iliyoundwa na ccm kwaajili ya kutekeleza ilani ya uchaguzi ya ccm. Kwa maneno mengine ndoa ya maridhiano iliyopo kati ya cuf na ccm imeifanya cuf kwa upande mmoja iwe msindikizaji badala ya kuwa mbia katika muungano huo. Na kwa upande mwingine ndoa hiyo imeigeuza cuf kuwa popo; kwa sasa ni vigumu kujua kama chama hicho ni ndege au mnyama! Katika hali hiyo chadema itakiamini vipi kukishirikisha katika kambi yake.
 
Kukiwa na madai mengi kutoka chama cha chadema dhidi ya cuf,ambapo binafsi niliwahi kuzungumza kuwa chadema ipo dhidi ya cuf sio ccm,nikapingwa na watu ambao upofu huita kengeza... mambo mengi yametokea kabla ya uchaguzi na sasa yanajionseha wazi baada ya uchaguzi.. hali ya kusema kwa Dr Slaa SASA UPEPO UMEBADILIKA ndipo watu wengi walianza kushtukia kuwa chadema sio chama cha upinzani bali shina la chama cha Mapinduzi kuja kuua upinzani.. Hali halisi ilizidi kujidhihirisha pale mgombea wa Urais wa Cuf alipofika baadhi ya maeneo kwenda kufanya mkutano,chadema walifanya mikutano yao eneo hili na mpaka mikutano mengine wakaivamia na kufanya vurugu,ambapo utaratibu wa tume ya uchaguzi ambapo vyama vyote vya siasa vilitia saini,ni kuwa endapo mgombea Urais atafanya mkutano basi vyama vyengine havitoruhusiwa kufanya mikutano yao mengine kama ya wabunge,madiwani..

Si hivo tu sasa chadema baada ya uchaguzi wamekuja na mapya,na la kushangaza mpinzani wao amekuwa ni Cuf sio ccm tena, kuingia bungeni tu chadema wakateuana vyeo wenyewe kwa wenyewe na kutoa tamko wao wanajitosheleza wenyewe kuunda serikali kivuli,then washachaguana ati ndo wanawaambia cuf tupo tutakushirikisheni ktk serikali yetu lkn kwa masharti... Hamad rashid akawajibu mumetufanyia mengi kwenye uchaguzi acha kwanza tutibu majeraha,halafu hamuwezi kutupa masharti ati tusishirikiane na vyama vyengine vya upinzani,yaani (NNCR,TLP,UDP) msituchagulie marafiki...huo si upinzani,upinzani wa kweli ni kuungana wote kwa pamoja dhidi ya chama tawala..

Walipoona hapo wameshindwa na wamejitia aibu wenyewe,sasa ili wasionekane wao chadema kama wana makosa wakaja na jipya,ati nyinyi cuf mpo pamoja na ccm,sasa sisi hatuwezi kushirikiana na nyinyi,walipojibiwa hata nyinyi mnashirikiana na ccm baadhi ya mikoa, wakaja na jipya ati nyinyi Cuf mumevunja katiba ya Muungano kwani nchi yetu ni serikali mbili kuelekea moja... SASA NAULIZA???? Pale Dr slaa ktk mkutano wake wa mwembe yanga aliposema kuwa endapo mtaichagua chadema na kuongoza serikali, Tutaunda serikali tatu,ya znz,tngka,na ya Muungano.. JE! ALIKUWA MNAFIKI? je chadema wana ilani mbili tofauti za uchaguzi? je hapo wasingevunja katiba? au wanarukia rukia tu ilani za watu wao hawana jipya? ndio maana imewashinda njiani?

Yapo mengi sana.. tena tunamwambia tundulusulusu nyamaza kimya znz haikuhusu wewe,wameshindwa babu zako ujekuwa wewe,endelea kutufumbua macho tu kama alivofanya Mizengo Pinda halaf uone huo mziki wake...

Chadema hawajui nini lengo la chama.. Lengo kuu la chama ni kushika madaraka ili kuwaletea wananchi maendeleo.. Cuf kama chama kipo standby kuchukua nchi anytym,na ndio maana ccm hawana njia mpaka kukubali cuf kuwemo serikalini baada ya Cuf kuwabana kisawa sawa, na lengo la kuingia Cuf serikalini ni hatua ya kwanza hii,sasa tunajieka tayari kuchukua nchi rasmi uchaguzi ujao,kwani sasa na sisi tumeshika mpini vile vile kama wao ccm,wanalolifanya tunalijua,na wakati tupo ndani kuna mabadiliko ,makubwa ya katiba yatakuja ili kuhakikisha uchaguzi ujao wa znz unakuwa wa huru na hakki na sisi cuf tunachukua nchi kirahisi...

Ndani ya mwezi mmoja tu Cuf kuingia serikalini pamoja na kuwa hatuna wizara zote,lkn hizo chache tulokuwa nazo mabadiliko makubwa tayari yanaanza kuonekana.. chini ya cuf wizara ya afya,ukienda spitali za serikali sasa ni marufuku kumpelekea chakula mgonjwa wako,wanapewa chakula kizuri tu,vitanda safi,mashuka mapya,spitali ukiingia kwa jumla safi.. dawa nazo hivi sasa bure,kutibiwa bure,na ukienda unatibiwa haraka haraka.. ukija biashara ambayo nayo ipo chini ya cuf, mpaka kwenye tv wametoa mchele wa mapembe ulivorudishwa kwao baada ya mfanya biashara mmoja kuleta,madukani vyakula vibovu vyote vimetolewa na hatua kali zinachuliwa,sasa unakuja mchele mzuri tu tena mwingi na upo njiani na kwa bei ambayo mwananchi ataweza kuimudu...

Wakati wa Karume na salmin hatukusikia kukamatwa madawa ya kulevya airport,kitengo hichi cha madawa ya kulevya chini ya Makamo wa kwanza Maalim seif,na wizara ya mawasiliano na uchukuzi amabyo ipo chini ya cuf washakamata madawa ya kulevya mara 3 tokea tuingie madarakani,na msako mkali unaendelea kwa wale wote wanaoshiriki kuleta.. na mtu miteja inayoonekana njiani inakamatwa wamapelekwa sehem zao maalum ili kuwasaidia..

Wizara ya michezo na habari,ambayo nayo ipo mikononi mwa Cuf tunaona vijana wa znz wavofanya vitu vyao kwenye challange..

Nidhamu sasa serikalini imerudi,wafanyakazi,wana nidhamu ya hali ya juu..

Sasa hili ndio lengo la upinzani, upinzani ni kuchukua madaraka ili kuwaletea maendeleo wananchi,tusiwe wachoyo tukiona nchi ya mwenzako inaendelea,kwani kuendelea kwake ndio na wewe mafanikio yako,kwani yeye ndie atalaekusaidia wewe kupata na wewe hakki yako ya msingi... Yako mengi sana lkn mda hautoshi,naona nimalizie tu hapa..

Wa Tz tuweni kitu kimoja ili tulete maendeleo,endapo sisi wapinzani tutakuwa tunabaguana watawala watazidi kujinufaisha matumbo yao,kwani tunajua ni jinsi gani tawala za kiafrika zilivo ngumu kutoa serikali hazikubali, CUF wameteseka saana viongozi wake,wapo waloekwa ndani miaka mitatu kina hamad rashid,duni na wengine, wapo waloekwa ndani kwa ajili ya kutete nchi kama Maalim seif alikaa ndani sana, tumeona Pr Lipumba mpaka kavunjwa mkono kwa ajili ya kudai katiba na uchaguzi huru na wa hakki,mikutano ilikuwa hairuhusiwi lkn baada ya maandamano yale ambapo Lipumba alipigwa na polisi mpaka kuvunjika mkono tumeona matunda yake,mikutano tunafanya bila ya bughdha....

Haya anayosema ni kweli kabisa na mpaka imefikia sasa CCM inadai inataka kutoa elimu bure kwa wazanzibari kwani wanaona kasi ya CUF ni kubwa. Tanganyika yetu kwanza tumalizane na ubaguzi wa wenyewenyewe na ufisadi ndio tunaweza kufikia kama CUF. Otherwise Chadema na CCM sidhani watakua na changes zozote anyway time will tell
 
CUF ipo zaidi Tanganyika na ina wanachama wengi ,hilo sitaki mjadala nalo, bado CHADEMA imebebwa na CCM kwa mikakati ileile ya kuwa eti CUF ina wabunge wengi sana kutoka Znz.
Lakini pindipo Uchaguzi wa Tanganyika utafanywa kwa haki na uwazi basi mtashangaa.
 
Acha kudanganya watu kuwa CUF ni chama cha upinzani. Kilochopo ni kuwa mli-ingia muafaka na CCM na mmegawana madaraka katika serikari moja, mnatawala na CCM sasa upinzani wenu uliopo ni kwa CHADEMA siyo CCM. CCM ni CCM tu iwe bara au visiwani ni CCM moja tu iliyoko madarakani inatawala na CUF.

Acheni kupotosha umma, chama cha upinzani chenye nguvu dhidi ya CCM na vibaraka wake ni CHADEMA tu!
 
Kukiwa na madai mengi kutoka chama cha chadema dhidi ya cuf,ambapo binafsi niliwahi kuzungumza kuwa chadema ipo dhidi ya cuf sio ccm,nikapingwa na watu ambao upofu huita kengeza... mambo mengi yametokea kabla ya uchaguzi na sasa yanajionseha wazi baada ya uchaguzi.. hali ya kusema kwa Dr Slaa SASA UPEPO UMEBADILIKA ndipo watu wengi walianza kushtukia kuwa chadema sio chama cha upinzani bali shina la chama cha Mapinduzi kuja kuua upinzani.. Hali halisi ilizidi kujidhihirisha pale mgombea wa Urais wa Cuf alipofika baadhi ya maeneo kwenda kufanya mkutano,chadema walifanya mikutano yao eneo hili na mpaka mikutano mengine wakaivamia na kufanya vurugu,ambapo utaratibu wa tume ya uchaguzi ambapo vyama vyote vya siasa vilitia saini,ni kuwa endapo mgombea Urais atafanya mkutano basi vyama vyengine havitoruhusiwa kufanya mikutano yao mengine kama ya wabunge,madiwani..

Si hivo tu sasa chadema baada ya uchaguzi wamekuja na mapya,na la kushangaza mpinzani wao amekuwa ni Cuf sio ccm tena, kuingia bungeni tu chadema wakateuana vyeo wenyewe kwa wenyewe na kutoa tamko wao wanajitosheleza wenyewe kuunda serikali kivuli,then washachaguana ati ndo wanawaambia cuf tupo tutakushirikisheni ktk serikali yetu lkn kwa masharti... Hamad rashid akawajibu mumetufanyia mengi kwenye uchaguzi acha kwanza tutibu majeraha,halafu hamuwezi kutupa masharti ati tusishirikiane na vyama vyengine vya upinzani,yaani (NNCR,TLP,UDP) msituchagulie marafiki...huo si upinzani,upinzani wa kweli ni kuungana wote kwa pamoja dhidi ya chama tawala..

Walipoona hapo wameshindwa na wamejitia aibu wenyewe,sasa ili wasionekane wao chadema kama wana makosa wakaja na jipya,ati nyinyi cuf mpo pamoja na ccm,sasa sisi hatuwezi kushirikiana na nyinyi,walipojibiwa hata nyinyi mnashirikiana na ccm baadhi ya mikoa, wakaja na jipya ati nyinyi Cuf mumevunja katiba ya Muungano kwani nchi yetu ni serikali mbili kuelekea moja... SASA NAULIZA???? Pale Dr slaa ktk mkutano wake wa mwembe yanga aliposema kuwa endapo mtaichagua chadema na kuongoza serikali, Tutaunda serikali tatu,ya znz,tngka,na ya Muungano.. JE! ALIKUWA MNAFIKI? je chadema wana ilani mbili tofauti za uchaguzi? je hapo wasingevunja katiba? au wanarukia rukia tu ilani za watu wao hawana jipya? ndio maana imewashinda njiani?

Yapo mengi sana.. tena tunamwambia tundulusulusu nyamaza kimya znz haikuhusu wewe,wameshindwa babu zako ujekuwa wewe,endelea kutufumbua macho tu kama alivofanya Mizengo Pinda halaf uone huo mziki wake...

Chadema hawajui nini lengo la chama.. Lengo kuu la chama ni kushika madaraka ili kuwaletea wananchi maendeleo.. Cuf kama chama kipo standby kuchukua nchi anytym,na ndio maana ccm hawana njia mpaka kukubali cuf kuwemo serikalini baada ya Cuf kuwabana kisawa sawa, na lengo la kuingia Cuf serikalini ni hatua ya kwanza hii,sasa tunajieka tayari kuchukua nchi rasmi uchaguzi ujao,kwani sasa na sisi tumeshika mpini vile vile kama wao ccm,wanalolifanya tunalijua,na wakati tupo ndani kuna mabadiliko ,makubwa ya katiba yatakuja ili kuhakikisha uchaguzi ujao wa znz unakuwa wa huru na hakki na sisi cuf tunachukua nchi kirahisi...

Ndani ya mwezi mmoja tu Cuf kuingia serikalini pamoja na kuwa hatuna wizara zote,lkn hizo chache tulokuwa nazo mabadiliko makubwa tayari yanaanza kuonekana.. chini ya cuf wizara ya afya,ukienda spitali za serikali sasa ni marufuku kumpelekea chakula mgonjwa wako,wanapewa chakula kizuri tu,vitanda safi,mashuka mapya,spitali ukiingia kwa jumla safi.. dawa nazo hivi sasa bure,kutibiwa bure,na ukienda unatibiwa haraka haraka.. ukija biashara ambayo nayo ipo chini ya cuf, mpaka kwenye tv wametoa mchele wa mapembe ulivorudishwa kwao baada ya mfanya biashara mmoja kuleta,madukani vyakula vibovu vyote vimetolewa na hatua kali zinachuliwa,sasa unakuja mchele mzuri tu tena mwingi na upo njiani na kwa bei ambayo mwananchi ataweza kuimudu...

Wakati wa Karume na salmin hatukusikia kukamatwa madawa ya kulevya airport,kitengo hichi cha madawa ya kulevya chini ya Makamo wa kwanza Maalim seif,na wizara ya mawasiliano na uchukuzi amabyo ipo chini ya cuf washakamata madawa ya kulevya mara 3 tokea tuingie madarakani,na msako mkali unaendelea kwa wale wote wanaoshiriki kuleta.. na mtu miteja inayoonekana njiani inakamatwa wamapelekwa sehem zao maalum ili kuwasaidia..

Wizara ya michezo na habari,ambayo nayo ipo mikononi mwa Cuf tunaona vijana wa znz wavofanya vitu vyao kwenye challange..

Nidhamu sasa serikalini imerudi,wafanyakazi,wana nidhamu ya hali ya juu..

Sasa hili ndio lengo la upinzani, upinzani ni kuchukua madaraka ili kuwaletea maendeleo wananchi,tusiwe wachoyo tukiona nchi ya mwenzako inaendelea,kwani kuendelea kwake ndio na wewe mafanikio yako,kwani yeye ndie atalaekusaidia wewe kupata na wewe hakki yako ya msingi... Yako mengi sana lkn mda hautoshi,naona nimalizie tu hapa..

Wa Tz tuweni kitu kimoja ili tulete maendeleo,endapo sisi wapinzani tutakuwa tunabaguana watawala watazidi kujinufaisha matumbo yao,kwani tunajua ni jinsi gani tawala za kiafrika zilivo ngumu kutoa serikali hazikubali, CUF wameteseka saana viongozi wake,wapo waloekwa ndani miaka mitatu kina hamad rashid,duni na wengine, wapo waloekwa ndani kwa ajili ya kutete nchi kama Maalim seif alikaa ndani sana, tumeona Pr Lipumba mpaka kavunjwa mkono kwa ajili ya kudai katiba na uchaguzi huru na wa hakki,mikutano ilikuwa hairuhusiwi lkn baada ya maandamano yale ambapo Lipumba alipigwa na polisi mpaka kuvunjika mkono tumeona matunda yake,mikutano tunafanya bila ya bughdha....

wewe unanipotezea muda.

hata aya ya kwanza nimeshindwa kuimaliza.

umeanza na pumba.

najua umemaliza na pumba.

muda ni mali.
 
Amesema ukweli, chadema inajenga historia mbaya kabisa ya ubaguzi na itakuwa ngumu kuja kula matapishi yake.

mmechezewa mpira ******, wanasiasa wamewadanganya, mmeingia king! mnapoona kuna watu wanaujua ukweli ndio mnaanza kusema pumba!!1

ultimate ya bara kama tunataka mabadiliko ni serikali ya mseto, kusema cuf siyo wapinzani ni kuukataa ukweli na kujipaka kinyesi.

chadema wameaibisha sana na wamejenga historia, bila wao kujua wameendeleza udini na ukabila na watu wanaona na sio wajinga, tuone kitafuata nini. we had nccr, we had cuf-bara where are they?
 
chadema wameaibisha sana na wamejenga historia, bila wao kujua wameendeleza udini na ukabila na watu wanaona na sio wajinga, tuone kitafuata nini. we had nccr, we had cug-bara where are they?
Is your comment subjective or objective or you dont know or just sake of talking negatives?
 
Ni hospitali bana siyo spitali.nitakujibu kesho however.
 
Amesema ukweli, chadema inajenga historia mbaya kabisa ya ubaguzi na itakuwa ngumu kuja kula matapishi yake.

mmechezewa mpira ******, wanasiasa wamewadanganya, mmeingia king! mnapoona kuna watu wanaujua ukweli ndio mnaanza kusema pumba!!1

ultimate ya bara kama tunataka mabadiliko ni serikali ya mseto, kusema cuf siyo wapinzani ni kuukataa ukweli na kujipaka kinyesi.

chadema wameaibisha sana na wamejenga historia, bila wao kujua wameendeleza udini na ukabila na watu wanaona na sio wajinga, tuone kitafuata nini. we had nccr, we had cuf-bara where are they?

Waberoya vipi tena, umelala nini CUF NA CCM ni wamoja, Mwenye kiti wa Cuf ni mmoja, viongozi ni wale wale. hapo upinzani uko wapi wakati wameolewa na CCM Znj. Hatuitaji muungano na mafisadi sisi ni kuiwangoa tuu nchi iwe saafi.
Tanzania bila mafisadi inawezekana.
 
Si hivo tu sasa chadema baada ya uchaguzi wamekuja na mapya,na la kushangaza mpinzani wao amekuwa ni Cuf sio ccm tena, kuingia bungeni tu chadema wakateuana vyeo wenyewe kwa wenyewe na kutoa tamko wao wanajitosheleza wenyewe kuunda serikali kivuli,then washachaguana ati ndo wanawaambia cuf tupo tutakushirikisheni ktk serikali yetu lkn kwa masharti... Hamad rashid akawajibu mumetufanyia mengi kwenye uchaguzi acha kwanza tutibu majeraha,halafu hamuwezi kutupa masharti ati tusishirikiane na vyama vyengine vya upinzani,yaani (NNCR,TLP,UDP) msituchagulie marafiki...huo si upinzani,upinzani wa kweli ni kuungana wote kwa pamoja dhidi ya chama tawala..

Walipoona hapo wameshindwa na wamejitia aibu wenyewe,sasa ili wasionekane wao chadema kama wana makosa wakaja na jipya,ati nyinyi cuf mpo pamoja na ccm,sasa sisi hatuwezi kushirikiana na nyinyi,walipojibiwa hata nyinyi mnashirikiana na ccm baadhi ya mikoa, wakaja na jipya ati nyinyi Cuf mumevunja katiba ya Muungano kwani nchi yetu ni serikali mbili kuelekea moja... SASA NAULIZA???? Pale Dr slaa ktk mkutano wake wa mwembe yanga aliposema kuwa endapo mtaichagua chadema na kuongoza serikali, Tutaunda serikali tatu,ya znz,tngka,na ya Muungano.. JE! ALIKUWA MNAFIKI? je chadema wana ilani mbili tofauti za uchaguzi? je hapo wasingevunja katiba? au wanarukia rukia tu ilani za watu wao hawana jipya? ndio maana imewashinda njiani?

Yapo mengi sana.. tena tunamwambia tundulusulusu nyamaza kimya znz haikuhusu wewe,wameshindwa babu zako ujekuwa wewe,endelea kutufumbua macho tu kama alivofanya Mizengo Pinda halaf uone huo mziki wake...

Chadema hawajui nini lengo la chama.. Lengo kuu la chama ni kushika madaraka ili kuwaletea wananchi maendeleo.. Cuf kama chama kipo standby kuchukua nchi anytym,na ndio maana ccm hawana njia mpaka kukubali cuf kuwemo serikalini baada ya Cuf kuwabana kisawa sawa, na lengo la kuingia Cuf serikalini ni hatua ya kwanza hii,sasa tunajieka tayari kuchukua nchi rasmi uchaguzi ujao,kwani sasa na sisi tumeshika mpini vile vile kama wao ccm,wanalolifanya tunalijua,na wakati tupo ndani kuna mabadiliko ,makubwa ya katiba yatakuja ili kuhakikisha uchaguzi ujao wa znz unakuwa wa huru na hakki na sisi cuf tunachukua nchi kirahisi...

Ndani ya mwezi mmoja tu Cuf kuingia serikalini pamoja na kuwa hatuna wizara zote,lkn hizo chache tulokuwa nazo mabadiliko makubwa tayari yanaanza kuonekana.. chini ya cuf wizara ya afya,ukienda spitali za serikali sasa ni marufuku kumpelekea chakula mgonjwa wako,wanapewa chakula kizuri tu,vitanda safi,mashuka mapya,spitali ukiingia kwa jumla safi.. dawa nazo hivi sasa bure,kutibiwa bure,na ukienda unatibiwa haraka haraka.. ukija biashara ambayo nayo ipo chini ya cuf, mpaka kwenye tv wametoa mchele wa mapembe ulivorudishwa kwao baada ya mfanya biashara mmoja kuleta,madukani vyakula vibovu vyote vimetolewa na hatua kali zinachuliwa,sasa unakuja mchele mzuri tu tena mwingi na upo njiani na kwa bei ambayo mwananchi ataweza kuimudu...

Wakati wa Karume na salmin hatukusikia kukamatwa madawa ya kulevya airport,kitengo hichi cha madawa ya kulevya chini ya Makamo wa kwanza Maalim seif,na wizara ya mawasiliano na uchukuzi amabyo ipo chini ya cuf washakamata madawa ya kulevya mara 3 tokea tuingie madarakani,na msako mkali unaendelea kwa wale wote wanaoshiriki kuleta.. na mtu miteja inayoonekana njiani inakamatwa wamapelekwa sehem zao maalum ili kuwasaidia..

Wizara ya michezo na habari,ambayo nayo ipo mikononi mwa Cuf tunaona vijana wa znz wavofanya vitu vyao kwenye challange..

Nidhamu sasa serikalini imerudi,wafanyakazi,wana nidhamu ya hali ya juu..

Sasa hili ndio lengo la upinzani, upinzani ni kuchukua madaraka ili kuwaletea maendeleo wananchi,tusiwe wachoyo tukiona nchi ya mwenzako inaendelea,kwani kuendelea kwake ndio na wewe mafanikio yako,kwani yeye ndie atalaekusaidia wewe kupata na wewe hakki yako ya msingi... Yako mengi sana lkn mda hautoshi,naona nimalizie tu hapa..

Wa Tz tuweni kitu kimoja ili tulete maendeleo,endapo sisi wapinzani tutakuwa tunabaguana watawala watazidi kujinufaisha matumbo yao,kwani tunajua ni jinsi gani tawala za kiafrika zilivo ngumu kutoa serikali hazikubali, CUF wameteseka saana viongozi wake,wapo waloekwa ndani miaka mitatu kina hamad rashid,duni na wengine, wapo waloekwa ndani kwa ajili ya kutete nchi kama Maalim seif alikaa ndani sana, tumeona Pr Lipumba mpaka kavunjwa mkono kwa ajili ya kudai katiba na uchaguzi huru na wa hakki,mikutano ilikuwa hairuhusiwi lkn baada ya maandamano yale ambapo Lipumba lipigwa na polisi mpaka kuvunjika mkono tumeona matunda yake,mikutano tunafanya bila ya bughdha....

Hawa cuf wakati wanaingia makubalio kushiriana na ccm huko znz na kuunda serikali ya mseto wa vyama viwili kwa muonekano wake walishirikisha vyama vingine vya upinzani, cdm wangelazimika vipi kuwashirikisha cuf? Huyu hr kwanini haelewi kuwa fm alipomfuata huko bungeni ilikuwa tu ni mbinu ya kutaka wamunge mkono marando, cheyo huko nyuma alitengwa na upinzani, mrema alikuwa anapigiakampeni kikwete achilia mbali kufilisika kisiasa.

Kama slaa alikuwa anasema kwenye kampeni za cdm kuwa wakipata ushindi wataleta katiba mpya, kwanini watu wasiamini kuwa serikali tatu zingeundwa baada ya kuwa accomodated na katiba mpya ya JMT, hayo waliyo yafanya huko znz yametumia katiba ipi ya JMT?

Jamaa ameweza kutufunulia kuwa mabadilko yaliyo tokea huko znz yalisukmwa zaidi na maelezo ya pinda bungeni kuwa znz si nchi, wala sio mapendekezo ya ile kamati ya rais wa JMT ya muafaka. Walisukubwa zaidi na kutetea uznz wao.

Anamtaja lipumba kuwa alivunjwa mkono akitetea harakati za upinzani nchi, kashaza sahau kuwa kuna wengine wengi walishaanza kabla yake hata kutoa maisha yao, hapa tunaona hulka ya ubinafsi uliopevuka na maslahi binafsi

Hivi watu kuwa kitu kimoja maana yake ni cdm kuungana na wapinzani wengine, kama hivyo ndivyo kwanini cuf hawa kuonyesha hivyo huko znz kwa kuwashirikisha wenzao kwenye huo mseto.

Anatusadikisha mafanikio yaliyo patikana huko znz katika kipindi kifupi chini ya cuf, kwa wale ambao wanajua uwezo wa utendaji wa wenzetu hawa tunatilia shaka kubwa kama hiki si kilemba cha ukoka.

Hapa tumejufunzana kuwa hawa ni watu wa gumu kwelikweli kushirikiana nao, agenda yao ni tofauti sana na wanacho kitafuta, wana uchu wa madaraka, wabinafsi, nk.

Chadema hawana sababubu yoyote ya msingi kushiriana nao(cuf) hata wapinzani wengine,hata ukiangalia cdm wamechaguliwa huku tanganyika tu, kwa hiyo wanatakiwa wa kawakilishe maslahi ya watanganyika kwanza ya kifuatiwa na ya wengine.

Ndani ya cdm kuna mamluki tayari sasa wakiongezeka na hawa wakujitakia watajikuta katitika wakati mgumu sana kama si kupotea kabisa.

Cdm mjiamini katekelezeni matarajio ya wengi na kwa kufuta vipaumbele vyake(muhimu sana hili kwa yule mwenye akili na maarifa). Tena mfanye hivyo kwa kujiamini, mkishindwa tutatawahukumu kwa kadri ya kushindwa huok
 
Yapo mengi sana.. tena tunamwambia tundulusulusu nyamaza kimya znz haikuhusu wewe,wameshindwa babu zako ujekuwa wewe,endelea kutufumbua macho tu kama alivofanya Mizengo Pinda halaf uone huo mziki wake...

Kama spika au hili jina gumu sana! ni Tundu Lisu

Ndani ya mwezi mmoja tu Cuf kuingia serikalini pamoja na kuwa hatuna wizara zote,lkn hizo chache tulokuwa nazo mabadiliko makubwa tayari yanaanza kuonekana.. chini ya cuf wizara ya afya,ukienda spitali za serikali sasa ni marufuku kumpelekea chakula mgonjwa wako,wanapewa chakula kizuri tu,vitanda safi,mashuka mapya,spitali ukiingia kwa jumla safi.. dawa nazo hivi sasa bure,kutibiwa bure,na ukienda unatibiwa haraka haraka.. ukija biashara ambayo nayo ipo chini ya cuf, mpaka kwenye tv wametoa mchele wa mapembe ulivorudishwa kwao baada ya mfanya biashara mmoja kuleta,madukani vyakula vibovu vyote vimetolewa na hatua kali zinachuliwa,sasa unakuja mchele mzuri tu tena mwingi na upo njiani na kwa bei ambayo mwananchi ataweza kuimudu...

Hii kama imefanyika pongezi ziende kwa hao viongozi wapya.

Wakati wa Karume na salmin hatukusikia kukamatwa madawa ya kulevya airport,kitengo hichi cha madawa ya kulevya chini ya Makamo wa kwanza Maalim seif,na wizara ya mawasiliano na uchukuzi amabyo ipo chini ya cuf washakamata madawa ya kulevya mara 3 tokea tuingie madarakani,na msako mkali unaendelea kwa wale wote wanaoshiriki kuleta.. na mtu miteja inayoonekana njiani inakamatwa wamapelekwa sehem zao maalum ili kuwasaidia..

Hapo kwenye red ningependa utoe data, je kitengo katika miaka 15 hakikukamata miadarati kabisa? I doubt it!

Wizara ya michezo na habari,ambayo nayo ipo mikononi mwa Cuf tunaona vijana wa znz wavofanya vitu vyao kwenye challange..

Hapa naona kidogo umesahau au umeamua makusudi, vipi umesahau timu iliyofanya maajabu kule kenya kwa kuiondosha ZAMBIA! Au hiyo haikuwa challenge?

Wa Tz tuweni kitu kimoja ili tulete maendeleo,endapo sisi wapinzani tutakuwa tunabaguana watawala watazidi kujinufaisha matumbo yao,kwani tunajua ni jinsi gani tawala za kiafrika zilivo ngumu kutoa serikali hazikubali, CUF wameteseka saana viongozi wake,wapo waloekwa ndani miaka mitatu kina hamad rashid,duni na wengine, wapo waloekwa ndani kwa ajili ya kutete nchi kama Maalim seif alikaa ndani sana, tumeona Pr Lipumba mpaka kavunjwa mkono kwa ajili ya kudai katiba na uchaguzi huru na wa hakki,mikutano ilikuwa hairuhusiwi lkn baada ya maandamano yale ambapo Lipumba alipigwa na polisi mpaka kuvunjika mkono tumeona matunda yake,mikutano tunafanya bila ya bughdha

Pongezi ziende kwa wote waliosimama kidete kuhakikisha uhuru wa mikutano unakuwepo. Si viongozi peke yao waliofanikisha haya bali ni wananchi wote waliojitokeza kuunga mkono. Nilisikia na Hamad Rashid akiuliza cuf walipokuwa wanaandamana na kuuwawa kule znz chadema walikuwa wapi? Sitaki kuamani kuwa walioandamana ni cuf peke yao, nahisi hata wale wasio na vyama ambao hawakulidhika na mwenendo wa uchaguzi wa 2000 waliandama. Itakuwa makosa na chadema wakidhani waliokuwa wanashinikiza kutangazwa matokeo ni wanachadema pekee yao. Wengi walikuwa wapenda haki na si wanachama wa ccm, cuf, chadema, tlp n.k.

Kuendelea kudhani wanachama ndio wenye uwezo kutadhoofisha nguvu ya wananchi! Toeni sera nzuri wananchi tutakuwa nyuma yenu nyie wenye vyama. Tafakari!
 
Kama spika au hili jina gumu sana! ni Tundu Lisu

Hii kama imefanyika pongezi ziende kwa hao viongozi wapya.

Hapo kwenye red ningependa utoe data, je kitengo katika miaka 15 hakikukamata miadarati kabisa? I doubt it!

Hapa naona kidogo umesahau au umeamua makusudi, vipi umesahau timu iliyofanya maajabu kule kenya kwa kuiondosha ZAMBIA! Au hiyo haikuwa challenge?

Pongezi ziende kwa wote waliosimama kidete kuhakikisha uhuru wa mikutano unakuwepo. Si viongozi peke yao waliofanikisha haya bali ni wananchi wote waliojitokeza kuunga mkono. Nilisikia na Hamad Rashid akiuliza cuf walipokuwa wanaandamana na kuuwawa kule znz chadema walikuwa wapi? Sitaki kuamani kuwa walioandamana ni cuf peke yao, nahisi hata wale wasio na vyama ambao hawakulidhika na mwenendo wa uchaguzi wa 2000 waliandama. Itakuwa makosa na chadema wakidhani waliokuwa wanashinikiza kutangazwa matokeo ni wanachadema pekee yao. Wengi walikuwa wapenda haki na si wanachama wa ccm, cuf, chadema, tlp n.k.

Kuendelea kudhani wanachama ndio wenye uwezo kutadhoofisha nguvu ya wananchi! Toeni sera nzuri wananchi tutakuwa nyuma yenu nyie wenye vyama. Tafakari!

Naamini wanachama na wapenzi wa chama husika ktk siasa zetu na hasa mwanzoni mwa mfumo wa vyama vingi,walikuwa wana base sana ktk chama ambacho wanakiamini na hasa tumeona jinsi Cuf walivokuwa wanaungwa mkono,wakisema watu watoke wanatoka na ndio sababu ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara kufanyika kwa uhuru,pamoja nakubali kuwa wapo waliotangulia kuanza harakati hizi,lkn ukweli ni kuwa Pr Lipumba ndio chanzo kikuu pale alipoitisha maandamano makubwa na hatimae yeye binafsi kupigwa mpaka kuvunjika mkono,na ndipo hapo tukaruhisiwa angalau kwa amani.. ukweli tusiukatae.. na kwa znz hakuna asiejua cuf ilivo na nguvu si pemba tu bali na unguja takriban yote lkn wizi wa ccm wanatumia nguvu ya dola kuhakikisha wanabaki madarakani,kule hakuna chama chengine cha upinzani chenye nguvu zaidi ya cuf,na hivo vyama vyengine havina wakilishali wala wa bunge,na wala havifikii asimilia kwa upande wa u-rais ili viweze angalau kupata hata ruzuku.. sasa hapo utasemaje.

Na kuhusu mihadarati hakuna wakati wa salmin wala aman aliekamatwa na wakubwa ndio walikuwa wakihusika,na sasa ni moto mkali.. Nasema lengo la upinzani ni kuhakikisha wananchi wanapata haki zao na maendeleo tena kwa haraka zaidi. upinzani si uadui wala kusema saana... karibu tu mtazidi kuona mambo mazito znz kwa maslahi ya wananchi..

Cuf sasa tunajipanga kuchukua nchi inshaallah... na hata ukiangalia hivi sasa unaweza Kusema Maalim seif ana nguvu zaid kuliko shein, na hata matamko ya serikali mazito yeye maalim ndie anaetoa, juzi tu katoa tamko wale wote waloshiri ktk kuharibu na kusababisha vurugu kwenye uchaguzi mdogo wachuliwe hatua kali,wakiwemo maaskari,na agizo limenza kutekelezwa.. subirini tu muone.. Chadema munaona serikali kivuli ina bajeti ndio maana mumejipa vyeo wenyewe ili mle ruzuku,cuf hawana haja na ruzuku na ndio maana miaka yote inawashirikisha wapinzani wenzao, nyinyi mumeeka mbele pesa kwanza,ikiwa nyinyi wenyewe kwa wenyewe mnatofautiana mtaweza kushirikiana na wengine? bungeni kutoka dhidi ya hotuba ya kikwete,wengine wametoka,wengine wamegoma kuingia kabisa, Cuf mwaka 2000 walitoka wote na hawakula kiapo na hawakuchukua posho muda wa miaka 3,nyinyi mnaweza? uchaguzi wa spika wabunge 10 wa chadema hawakumpigia kura marando,utalaumu cuf? wakati nyie wenyewe hamuna misimamo? bado chama chenu hakina viongozi madhubuti na wenye misimamo ya dhati,pamoja na kupata watu vichwa vikali.... bado chama chenu kichanga saana.. hamjui hasa nini lengo la chama,mnafikiri chama ni vurugu tu... no,no,no
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom