Kukiwa na madai mengi kutoka chama cha chadema dhidi ya cuf,ambapo binafsi niliwahi kuzungumza kuwa chadema ipo dhidi ya cuf sio ccm,nikapingwa na watu ambao upofu huita kengeza... mambo mengi yametokea kabla ya uchaguzi na sasa yanajionseha wazi baada ya uchaguzi.. hali ya kusema kwa Dr Slaa SASA UPEPO UMEBADILIKA ndipo watu wengi walianza kushtukia kuwa chadema sio chama cha upinzani bali shina la chama cha Mapinduzi kuja kuua upinzani.. Hali halisi ilizidi kujidhihirisha pale mgombea wa Urais wa Cuf alipofika baadhi ya maeneo kwenda kufanya mkutano,chadema walifanya mikutano yao eneo hili na mpaka mikutano mengine wakaivamia na kufanya vurugu,ambapo utaratibu wa tume ya uchaguzi ambapo vyama vyote vya siasa vilitia saini,ni kuwa endapo mgombea Urais atafanya mkutano basi vyama vyengine havitoruhusiwa kufanya mikutano yao mengine kama ya wabunge,madiwani..
Si hivo tu sasa chadema baada ya uchaguzi wamekuja na mapya,na la kushangaza mpinzani wao amekuwa ni Cuf sio ccm tena, kuingia bungeni tu chadema wakateuana vyeo wenyewe kwa wenyewe na kutoa tamko wao wanajitosheleza wenyewe kuunda serikali kivuli,then washachaguana ati ndo wanawaambia cuf tupo tutakushirikisheni ktk serikali yetu lkn kwa masharti... Hamad rashid akawajibu mumetufanyia mengi kwenye uchaguzi acha kwanza tutibu majeraha,halafu hamuwezi kutupa masharti ati tusishirikiane na vyama vyengine vya upinzani,yaani (NNCR,TLP,UDP) msituchagulie marafiki...huo si upinzani,upinzani wa kweli ni kuungana wote kwa pamoja dhidi ya chama tawala..
Walipoona hapo wameshindwa na wamejitia aibu wenyewe,sasa ili wasionekane wao chadema kama wana makosa wakaja na jipya,ati nyinyi cuf mpo pamoja na ccm,sasa sisi hatuwezi kushirikiana na nyinyi,walipojibiwa hata nyinyi mnashirikiana na ccm baadhi ya mikoa, wakaja na jipya ati nyinyi Cuf mumevunja katiba ya Muungano kwani nchi yetu ni serikali mbili kuelekea moja... SASA NAULIZA???? Pale Dr slaa ktk mkutano wake wa mwembe yanga aliposema kuwa endapo mtaichagua chadema na kuongoza serikali, Tutaunda serikali tatu,ya znz,tngka,na ya Muungano.. JE! ALIKUWA MNAFIKI? je chadema wana ilani mbili tofauti za uchaguzi? je hapo wasingevunja katiba? au wanarukia rukia tu ilani za watu wao hawana jipya? ndio maana imewashinda njiani?
Yapo mengi sana.. tena tunamwambia tundulusulusu nyamaza kimya znz haikuhusu wewe,wameshindwa babu zako ujekuwa wewe,endelea kutufumbua macho tu kama alivofanya Mizengo Pinda halaf uone huo mziki wake...
Chadema hawajui nini lengo la chama.. Lengo kuu la chama ni kushika madaraka ili kuwaletea wananchi maendeleo.. Cuf kama chama kipo standby kuchukua nchi anytym,na ndio maana ccm hawana njia mpaka kukubali cuf kuwemo serikalini baada ya Cuf kuwabana kisawa sawa, na lengo la kuingia Cuf serikalini ni hatua ya kwanza hii,sasa tunajieka tayari kuchukua nchi rasmi uchaguzi ujao,kwani sasa na sisi tumeshika mpini vile vile kama wao ccm,wanalolifanya tunalijua,na wakati tupo ndani kuna mabadiliko ,makubwa ya katiba yatakuja ili kuhakikisha uchaguzi ujao wa znz unakuwa wa huru na hakki na sisi cuf tunachukua nchi kirahisi...
Ndani ya mwezi mmoja tu Cuf kuingia serikalini pamoja na kuwa hatuna wizara zote,lkn hizo chache tulokuwa nazo mabadiliko makubwa tayari yanaanza kuonekana.. chini ya cuf wizara ya afya,ukienda spitali za serikali sasa ni marufuku kumpelekea chakula mgonjwa wako,wanapewa chakula kizuri tu,vitanda safi,mashuka mapya,spitali ukiingia kwa jumla safi.. dawa nazo hivi sasa bure,kutibiwa bure,na ukienda unatibiwa haraka haraka.. ukija biashara ambayo nayo ipo chini ya cuf, mpaka kwenye tv wametoa mchele wa mapembe ulivorudishwa kwao baada ya mfanya biashara mmoja kuleta,madukani vyakula vibovu vyote vimetolewa na hatua kali zinachuliwa,sasa unakuja mchele mzuri tu tena mwingi na upo njiani na kwa bei ambayo mwananchi ataweza kuimudu...
Wakati wa Karume na salmin hatukusikia kukamatwa madawa ya kulevya airport,kitengo hichi cha madawa ya kulevya chini ya Makamo wa kwanza Maalim seif,na wizara ya mawasiliano na uchukuzi amabyo ipo chini ya cuf washakamata madawa ya kulevya mara 3 tokea tuingie madarakani,na msako mkali unaendelea kwa wale wote wanaoshiriki kuleta.. na mtu miteja inayoonekana njiani inakamatwa wamapelekwa sehem zao maalum ili kuwasaidia..
Wizara ya michezo na habari,ambayo nayo ipo mikononi mwa Cuf tunaona vijana wa znz wavofanya vitu vyao kwenye challange..
Nidhamu sasa serikalini imerudi,wafanyakazi,wana nidhamu ya hali ya juu..
Sasa hili ndio lengo la upinzani, upinzani ni kuchukua madaraka ili kuwaletea maendeleo wananchi,tusiwe wachoyo tukiona nchi ya mwenzako inaendelea,kwani kuendelea kwake ndio na wewe mafanikio yako,kwani yeye ndie atalaekusaidia wewe kupata na wewe hakki yako ya msingi... Yako mengi sana lkn mda hautoshi,naona nimalizie tu hapa..
Wa Tz tuweni kitu kimoja ili tulete maendeleo,endapo sisi wapinzani tutakuwa tunabaguana watawala watazidi kujinufaisha matumbo yao,kwani tunajua ni jinsi gani tawala za kiafrika zilivo ngumu kutoa serikali hazikubali, CUF wameteseka saana viongozi wake,wapo waloekwa ndani miaka mitatu kina hamad rashid,duni na wengine, wapo waloekwa ndani kwa ajili ya kutete nchi kama Maalim seif alikaa ndani sana, tumeona Pr Lipumba mpaka kavunjwa mkono kwa ajili ya kudai katiba na uchaguzi huru na wa hakki,mikutano ilikuwa hairuhusiwi lkn baada ya maandamano yale ambapo Lipumba alipigwa na polisi mpaka kuvunjika mkono tumeona matunda yake,mikutano tunafanya bila ya bughdha....