Mabadiliko Makubwa TUT, RTD, PRT: Kudos Tido Mhando & Team | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko Makubwa TUT, RTD, PRT: Kudos Tido Mhando & Team

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kasheshe, Mar 8, 2008.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wanabodi,

  Nimesoma kwenye gazeti la Habarileo kama sikosei... March, 26 Rais anatarajiwa kuzindua Tanzania Broadcasting Corporation - TBC.

  Mabadilio yafuatayo:- Yanakuja.

  TVT
  Itakuwa na channel tatu na zitakuwa na majina yafuatayo.

  TBC 1 - hii channel ndio exactly TVT ya sasa.
  TBC 2
  TBC 3


  RTD: Redio Tanzania Dar es Salaam
  Itaitwa "TBC Taifa"

  PRT yaani FM radio ya RTD itaitwa TBC FM

  Idhaa za nje etc... zitaitwa TBC international ... ambayo itakuwa inaunganisha kiingereza na kifaransa.

  Ukiangalia ukiacha mabadiliko ya majina tu... kuna kila hali kwamba Tido amerudisha heshima ya vyombo hivi vya umma.

  Tukumbuke wameshafungua FM station 10, au wanafungua kumi...


  Wenye data zaidi karibuni
   
 2. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #2
  Mar 8, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  This is a great move! Hope it goes along with making these institutions independent of interference from nasty politicians.
   
 3. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..hiyo kazi ilianza hata kabla ya tido.

  ..wa kuwapongeza zaidi ni wataalamu wa tut/tvt.
   
 4. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #4
  Mar 8, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145

  Well, labda kweli. Lakini hatuwezi kukwepa ukweli kwamba sasa Tido ndio amelifanikisha. Lingeharibika lolote sasa hivi hata kama hakuanzisha yeye lakini tutamvaa. Na leo hii kuna mambo kibao ambayo JK kayakuta lakini ndio hivyo tena tumembea bango. Wanasema uongozi ni jalala unabeba kila kitu, kizuri na kibaya, cha zamani na cha leo. Kwa hili hatuna njia ya kukwepa kumpongeza Bw Tido Danstan Mhando.
   
 5. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2008
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  It's the content that counts...tumeshuhudia TAKURU/PCB "ikiundwa upya" na kuwa TAKUKURU/PCCB lakini it's turned from bad to worse.Kubadili jina pasipo kubadili tabia ni sawa na kupoteza muda.I reserve my compliments until when Tido proves that he learnt something from BBC (and why it's been so mwiba mchungu kwa serikali ya UK).
   
 6. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ukweli utabaki pale pale kwamba mabadiliko ya kweli serikalini, lazima walete watu kutoka private sector au watanzania waliokuwa nje... ili mabadiliko ya kweli yatokee kuliko mtindo wa aliyekuwa mdogo ndiye apande juu...

  External forces is critical success factor!
   
 7. M

  Masatu JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nami pia na reserve compliments zangu mpaka atakapo deliver but so far so good..
   
 8. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  .......word!
   
 9. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! TVT imebadilika sana over d past 1-2 yrs. Vipindi kama Jambo Afrika/ TZ, This wk in perspective na Taarifa ya Habari r currently d best in in-depth analysis kiasi kwamba kituo flani kilichowahi kuwa juu kinaonekana "cha mtoto"! Ila graphics ndo kidogo bado. I think its a gud move
   
 10. N

  NakuliliaTanzania JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 560
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa wale walioko vijijini
  wataipataje hiyo TVT na channel zake 3? na hiyo radio, je inaweza kwend online kama zilivo DW na BBC? au bado itabidi watu wategmee BBC na DW kupata habari za nyumbani? Kuna radio binafsi kama radio maria ambayo ipo online, sasa sijui kwa hili Tido anakabiliana nalo vipi
   
 11. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2008
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,612
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  I hope they will follow every aspects of corporation. Kingine ni time ya kuviacha hivyo vyombo vijiendeleze vyenyewe, na visiwe kama another branch ya serikali kuendeleza ubabaishaji.

  Kingine nategemea pesa za kujiendesha zitatoka kwenye cormercial advertisement na sio fund za hazina. Ndio maana nilisema i hope vitaendeshwa kwa mwendo na mfumo mzima wa kikampuni.
   
 12. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Bado wapo nyuma hadi pale watakapofanikiwa kuweka chanel zao katika satalite za kimataifa na kuweza kuonekana sehemu mbali mbali duniani ,maana wanaweza wakachomekea kwenye HOTBIRD au NILE SAT , Ukilinganisha utaona DJIBOUT ,ERITREA ETHIOPIA na baadhi ya nchi nyingi za Afrika zina Chanel zao katika satalaiti hizo.
   
 13. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ... And news just in= Scientists have just made a great discovery: NO BABY IS BORN WALKING! Kdg kdg, watafika vjjni na kwenye mtandao!
   
 14. Wakunyuti

  Wakunyuti JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Its a good move.. much credit to TIDO..haya ndio mabadiliko tunayotaka tanzania.Kuchapa mzigo
   
 15. M

  Mama Lao JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 238
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera san Tido and team. Hata mimi sasa hiv habari ni meswitch to TVT
  Ila angalizo
  1. Watendaji wako wengi ni "waswahili" hawako serious. Hawajitumi na kuna chochoko zisizo za msingi. Mtu atanedaje lunch 2hrs. TVT geteni hakuna nidhamu ya kazi ni kile kiofisi cha "biashara" mtendaji anaondoka for 3 hrs wateja wanamsubiri tena wanaoleta pesa??????????????????????????YOU ARE NOT SERIOUS!
  Unapiga simu news room unawekwa on hold for 15 minutes kila unayeongea naye....haelewi?????????????????????????
  2. Acha upendeleo!Reward people for doing good work. Sio kwa vile naniii ulikuwa naye BBC ndio unamuweka mbele..MBELE ........anatuboa watazamaji.Kama siku zile alivyomyamazisha Marina on Kenya issue.
  3. RTD ni chafu kuanzia getini hadi chooni.....
  4. Tunataka toll free number/hotline ya kuwasiliana na wewe au emails let people give you advise/comments etc.
   
 16. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa mara nyingine tena... .TBC1 wanaacha vituo vingine nyuma kwa ubunifu... naomba wenye access ya hii station... umuangalie taarifa ya habari especially utabiri wa hali ya hewa!
   
 17. mujydebubyz

  mujydebubyz Member

  #17
  Apr 14, 2009
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ikwapi?
   
 18. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  mbona hatuoni chochote
   
 19. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Familiar with this picture......hello there
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kivazi cha mfalme..?
   
Loading...