Mabadiliko makubwa ktk uchumi na siasa za Tanzania 2015- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko makubwa ktk uchumi na siasa za Tanzania 2015-

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, Aug 18, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Ni jambo ambalo kila mtanzania mwenye mapenz mema na taifa hili anayasubiria.

  Leo napenda kuandika juu ya mabadiliko makubwa ktk siasa za tanzania hasa pale chama tawala cc kitashindwa ktk uchaguzi wa urais baada ya uchaguzi kurudiwa. Watanzania tutegeme mabadiliko makubwa ktk uchumi wa Taifa hili maana ndipo ule wakati wa kila mtu kula kwa jasho lake, kutakuwa na ajira zakutosha,mfumuko wa bei utashuka.

  Na kila mtanzania atapata staiki ya jasho lake. 2016, kutakuwa na kupandishwa mahakaman kwa watawala wengi kutokana nakutumia viti vyao vibaya.

  Kwakweli ni mabadiliko makubwa sana Mungu atutangulie.
   
 2. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tunaomba yaje kwa amani tu, atakaeshindwa akubali kushindwa (Kihalali lakini) na tusifikie kutumia 'Binduki'.....
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mabadiliko ni lazima.asiyetaka ataondoka yeye!
   
 4. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Bunduki muhimu usitegemee magamba wataachia nchi kilaini hilo sahau kabisa mkuu
   
 5. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu umewahi kutembelea nchi zilizopitia mambo ya Bunduki? Ni bora kutumia nguvu ya umma mara elfu kuliko hiyo kitu mzee, bora kila kitu, migomo, maandamano whatever lakini bunduki tusiombee wakuu
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  unadhani walioamua kutumia mtutu walipenda?nchi zote zenye maendeleo zilipitia hiyo hatua.hakuna utamu usioanza na uchungu.
   
 7. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Naimani hakutokuwa na vita that is God plan 4us
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hata israeli walipigana vita ili kujikomboa.
   
 9. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu SOKWE MJANJA nguvu ya umma tukiitumia 2015 baada ya kuchakachuliwa na magamba ndio itakayozua mtutu wa bunduki polisi ccm wataamuliwa kuuawaandamanaji ndipo kitumbua kitakuwa kimetumbukia mchanga kwa vyovyote vile wananchi watajihami kwa kujibu mapigo timbwili likiwa kubwa na polisi kuzidiwa na nguvu ya umma wataamua kujiunga na nguvu ya umma hapo magamba watakuwa wameshindwa mkuu.
   
 10. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sawa kiongozi wangu, tuungane tu kuombea tusifike hali hiyo. Vita ikiingia huwa ni ishu sana kiongozi na madhara yake huwa ni makubwa kuliko wengi wetu tunavyofikiria. Ila hakuna cha kufanya kama atakaeshindwa kihalali akakataa kutoka basi tena hamna jinsi.
   
 11. D

  Deofm JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ingawaje huo ndio ukweli lakini unatisha!!!!!!!!!!!!! Watakaoponda ndio watakaofaidi matunda ya ukombozi.
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  and the transition of power will be diplomatically and amicably
   
 13. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  umesomeka mkuu, kwa vyovyote iwavyo, mabadiliko lazima yaje kipindi hiki. JAPO HAKUNA BEI YA DAMU, damu itakayomwagika kwa sasa ni kidogo kuliko damu itakayomwagika siku zijazo. hawa majambazi a.k.a mafisadi ccm hawaoneshi hata dalili ya kubadilika, ndo kwanza wanajifanya hawasikii, kila tasnia ina matatizo, hakuna haki mahakamani wala polisi kwa masikini, rushwa kila mahali, uozo wa kutisha kwenye taasisi za serikali, YET, wanaojiita serikali sikivu wapo, AND THEY ARE JUST LOOKING, amaaa kweli sikio la kufa halisikii dawa.
   
 14. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hayo mabadiliko makubwa ni matamanio kwa kila mtanzania mpenda maendeleo.tuzidi kumwomba Mungu kwani imenenwa kuwa sio kila vita ni 12 For we wrestle not against flesh and blood, but against principalities, against powers, against the rulers of the darkness of this world, against spiritual wickedness in high places. 13 Wherefore take unto you the whole armour of God, that ye may be able to withstand in the evil day, and having done all, to stand. 14 Stand therefore, having your loins girt about with truth, and having on the breastplate of righteousness; 15 And your feet shod with the preparation of the gospel of peace; 16 Above all, taking the shield of faith, wherewith ye shall be able to quench all the fiery darts of the wicked. 17 And take the helmet of salvation, and the sword of the Spirit, which is the word of God: 18 Praying always with all prayer and supplication in the Spirit, and watching thereunto with all perseverance and supplication for all saints; EFFESSIANS 6:12-18
   
 15. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kila mtanzania amepigika sana na kila mtu anatamani mabadiliko ila kuna unajimu unafanyika katika nchi hii huwezi kuamini. Sijui tunasafirishwa na ule mwenge wa Uhuru. Maana badala ya mwenge kuwa wa uhuru(freedom) umekuwa ni mwenge wa kuwapumabaza,kuwatisha, kueneza ngono zembe kwa watanzania.
   
 16. A

  Ame JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Kuta kuwa na kavita kadogo, alafu itafuatia utulivu na kila mtu kula kwa jasho lake then baraka itaonekana wazi kwani ardhi yetu imebarikiwa na kilimo ndicho kitakacho tutoa katika dimbwi hili la umasikini naziona nyumba nzuri nzuri na mitaa iliyo pangika sawia baada ya muda fulani.....Wakati huo wengine tuta ibuka kama wimbi la tsunami baharini...Uvumilivu huu sikuwahi kuuona as a promise was given in 1994 na confirmation was made 2007 leo hii navyoona mambo yakitokea kwa mtiririko ule ule I cant believe my eyes and am eagerly awaiting for that day when I will sing a great halleluja! Kaskazini jiandaeni kutoa Rais safari hii hakuna wakuchakachua! Mafisadi wekeni nyumba zenu sawa ugonjwa huu hautawaacha wazima....Says the Prince of this land Ame!
   
 17. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Na mabomba yote yatakuwa yanatoa maji. Rami zitajengwa kila mtaa. Shule itakuwa bure mpaka form six, afya bure na ushuru wa kuingiza magari utashushwa, ushuru wa bidhaa za akinamama utaondolewa. Cement itakuwa sh. elfu tano. Umeme utafika kila kijiji. Watumishi wa umma wote watapandishiwa mishahara. Mafisadi wote watakamatwa na viongozi wote wa serikali watakuwa safi.
   
 18. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Walipigana wenyewe kwa wenyewe?

  Sisi tukipigana ni wenyewe kwa wenyewe.
  CCM wamepandikiza chuki ili Vyama vya upinzani vionekane ni maadui.

  Watanzania hawaijui vita,
  Ndiyo maana wakisikia risasi zinarindima wengi hukimbilia huko,
  eti waone kuna nini.
  nchi za wajuao ubaya wa bunduki risasi zikipigwa kila mtu ana lala chini,
  na kutafuta pa kujihifadhi.

  kukimbilia kunako milindimo ya risasi ni dalili kubwa ya kushindwa kuelewa ubaya wa mtutu,
  na madhara yake kijamii.

   
 19. andate

  andate JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ni kweli magamba hawawezi kuiachia nchi kirahisi. Sidhani kama raia wanajua kua katika kila uchaguzi mkuu magamba wanahakikisha silaha na risasi lukuki zimesambazwa kwa kila afisa wa jeshi kuwa tayari kwa lolote, na hapo achilia mbali kwa wanajeshi wa kawaida ambao wao hutii amri tu kutoka kwa mkuu wao ambaye pia ni gamba.
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  a daydreamer....................................lakini endelea kuota hizi njozi bila ya kuziwekea minofu......................jaribu kujibu swali la "how" cdm itaweza kutafuna mfupa uliomshinda mzee fisi ambaye ni ccm?
   
Loading...