Kwa uwelewa wangu mdogo mara nyingi mabadiliko kwenye idara nyeti kama Tiss na idara nyingine nyeti huwa yana masilahi mapana kwa taifa kuliko hizi mambo zinaongelewa ktk magazeti ya nje wakisaidiwa manyambiz wa siasa zetu.
Kama taifa ni vigumu kujuwa nyuma ya mabadiliko haya labda tu mniambie tetesi ambazo wengi tulio na macho ya mbali tunaziona hazina ukweli.
Mtu anavyo simama nakusema uchaguz ujao 2020 na serikal za mitaa ndio yamemuondoa Kipilimba mimi nawaita niwajinga na wanatupotosha sana.
Idara hii ya Tiss nimoja ya idara nyeti ktk taifa kiasi hata ukisoma baruwa ya ikulu hailelezei kutumbuliwa au kutenguliwa ila kuonyesha mabadiliko yasio na maelezo mengi.
Mtu kuja hapa jamii forum nakusema hiki aukile ndio kimemuondoa huyu mkuu pia nasema hatokuwa sawa why hii ni siri na ukienda ndani kwa jinsi mabadiliko yamefanyika nyuma yake kuna masilahi mazito ya taifa wala sio kama eti nikwa sababu za mambo ya uchaguz.
Yapo mambo mawili tu kunakazi ameshindwa kukamilisha at very high national securty au kuna kazi ipo mbele yake na kwa masilahi mapana ya taifa hawez itekeleza na yeye anajuwa na ndio maana mabadiliko yamekuwa ya ghafla na haraka sana.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wake na Watanzania. Amen
Update
Niliandika 13 Sept 2019