Mabadiliko kwenye idara nyeti kama Tiss mara nyingi ni top secret

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,184
11,205
Kwa uwelewa wangu mdogo mara nyingi mabadiliko kwenye idara nyeti kama Tiss na idara nyingine nyeti huwa yana masilahi mapana kwa taifa kuliko hizi mambo zinaongelewa ktk magazeti ya nje wakisaidiwa manyambiz wa siasa zetu.

Kama taifa ni vigumu kujuwa nyuma ya mabadiliko haya labda tu mniambie tetesi ambazo wengi tulio na macho ya mbali tunaziona hazina ukweli.

Mtu anavyo simama nakusema uchaguz ujao 2020 na serikal za mitaa ndio yamemuondoa Kipilimba mimi nawaita niwajinga na wanatupotosha sana.

Idara hii ya Tiss nimoja ya idara nyeti ktk taifa kiasi hata ukisoma baruwa ya ikulu hailelezei kutumbuliwa au kutenguliwa ila kuonyesha mabadiliko yasio na maelezo mengi.

Mtu kuja hapa jamii forum nakusema hiki aukile ndio kimemuondoa huyu mkuu pia nasema hatokuwa sawa why hii ni siri na ukienda ndani kwa jinsi mabadiliko yamefanyika nyuma yake kuna masilahi mazito ya taifa wala sio kama eti nikwa sababu za mambo ya uchaguz.

Yapo mambo mawili tu kunakazi ameshindwa kukamilisha at very high national securty au kuna kazi ipo mbele yake na kwa masilahi mapana ya taifa hawez itekeleza na yeye anajuwa na ndio maana mabadiliko yamekuwa ya ghafla na haraka sana.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wake na Watanzania. Amen

Update
Niliandika 13 Sept 2019
 
Kuna watu ni wazuri kwa utunzi wanamzidi hata Yericko.

Alafu wanajifanya wako ndani ya kitengo.

Wameumbwa hivyo yaani wana mioyo ya TUKOSE WOTE.

TANZANIA SIMAMA IMARA.

WATANZANIA TUSIMAME IMARA.
 
Yapo mambo mawili tu kunakazi ameshindwa kukamilisha at very high national securty au kuna kazi ipo mbele yake na kwa masilahi mapana ya taifa hawez itekeleza na yeye anajuwa na ndio maana mabadiliko yamekuwa ya ghafla na haraka sana.
hoja yako inajichanganya sana, mwanzoni umesema idara ni nyeti na sababu za kutenguliwa hazijawekwa wazi ukarejea barua ya ikulu. Ukimaanisha hakuna anayejua sababu ya mabadiliko zaidi ya walio kwenye mamlaka.
Ukuishia hapo ukaenda mbali zaidi na kuwashangaa wanaosema sababu ni uchaguzi wa mwaka huu na ujao.
Paragraph ya mwisho unakuja na kutoa sababu mbili za kwako binafsi hambazo tukirejea kwenye barua ya ikulu uliyoitumia kujengea hoja hizo sababu mbili hazijatajwa.
Kwa iyo kama unapuuza wanaosema sababu ya mabadiliko ni uchaguzi ujao ukitumia rejea ya barua ya ikulu, ni kwa nini na sisi tusikupuuze kwa hizo sababu zako mbili ulizozitaja tukitumia rejea ya barua ya ikulu?
 
Hata wewe tunakuita mjinga tu kwani unachojua ni kuua tu si zaidi ya hapo. Damu ya Saanane itakutesa mpaka unaingia kaburini
 
Kwa uwelewa wangu mdogo mara nyingi mabadiliko kwenye idara nyeti kama Tiss na idara nyingine nyeti huwa yana masilahi mapana kwa taifa kuliko hizi mambo zinaongelewa ktk magazeti ya nje wakisaidiwa manyambiz wa siasa zetu.

Kama taifa ni vigumu kujuwa nyuma ya mabadiliko haya labda tu mniambie tetesi ambazo wengi tulio na macho ya mbali tunaziona hazina ukweli.

Mtu anavyo simama nakusema uchaguz ujao 2020 na serikal za mitaa ndio yamemuondoa Kipilimba mimi nawaita niwajinga na wanatupotosha sana.

Idara hii ya Tiss nimoja ya idara nyeti ktk taifa kiasi hata ukisoma baruwa ya ikulu hailelezei kutumbuliwa au kutenguliwa ila kuonyesha mabadiliko yasio na maelezo mengi.

Mtu kuja hapa jamii forum nakusema hiki aukile ndio kimemuondoa huyu mkuu pia nasema hatokuwa sawa why hii ni siri na ukienda ndani kwa jinsi mabadiliko yamefanyika nyuma yake kuna masilahi mazito ya taifa wala sio kama eti nikwa sababu za mambo ya uchaguz.

Yapo mambo mawili tu kunakazi ameshindwa kukamilisha at very high national securty au kuna kazi ipo mbele yake na kwa masilahi mapana ya taifa hawez itekeleza na yeye anajuwa na ndio maana mabadiliko yamekuwa ya ghafla na haraka sana.
Mungu ibariki Tanzania na Rais wake na Watanzania. Amen

I agree with this view. Kazi ndio inampa mtu kwenda juu au kuporomoka
 
Back
Top Bottom