Mabadiliko Jeshi la Polisi: Kamanda Ahmed Msangi awa Msemaji wa Polisi

Siku hizi taasisi nyingi tu zimetenga nafasi ya ajira ya PR. Hii ni uofisa habari na mawasiliano kwa umma. Ni nafasi inayotangazwa moja kwa moja, Raia anaingia nayo jeshini. Siyo unaenda kusomea ukiwa ndani ya jeshi, labda ukaongeze ujuzi tu
 
Mkuu wewe ndio umenifumbua macho, nasoma tu DCP, SSP, CP lakini sielewi. If you don't mind hem taja vyeo vya hawa jamaa kwa mlolongo wake tafadhali.
IGP
CP
DCP
SACP
ACP
SSP
SP
Inspector
Ass. Inspector

chini ya hapo ni wale makuruta na wenye V
 
Wakuuu ufafanuzi hapa nani kashuka nani kapanda
Hakuna aliyepanda wala kushuka cheo kwani vyote hivyo hujidhihirisha na vyeo ktk mavazi yao kwa hiyo stahili zao bado ni zilezile (zikiwemo posho rasmi) labda marupurupu ya kimazingira na yale yasiyo rasmi!
 
RPC ni dili kaka,
Msemaji wa polisi kazi yako ni kusoma magazeti na kutoa matamko tu.
RPC kwa mwaka unaweza jenga ghorofa nje ya mshahara wako
Sure majeshini salute kitu gani watu wanaangalia hela unaweza kua ACP ukapewa u-RPC ukapiga hela kuliko aliye ofisini anayekuzidi cheo!
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua aliyekuwa Msemaji wa Polisi, Barnabas Mwakalukwa kuwa Mnadhimu wa Polisi mkoa wa Pwani

Nafasi yake inachukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Makosa dhidi ya Binadamu Makao Makuu ya upelelezi Dar, Ahmed Msangi

Msangi anachukua nafasi hiyo ikiwa ni takribani miezi mitatu tangu ahamie Makao Makuu kutoka kuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza
Wanatutangazia sisi wananchi ili tushangilie au vipi? Hayo si mambo yao ya kijeshi?
Ingekuwa wananchi wanamchagua RPC, OCD, au mgambo (kama wanavyofanya USA kwa Shereef ingeleta

Wanatutangazia sisi wananchi ili watu washangilie au wamkatae? Hayo si mambo yao wenyewe jeshini?
Kama wananchi wangekuwa ndio wanamchagua RPC OCD au hata mgambo (kama wanavyofanya USA kwa Sheriff) ingeleta maana.
Wangejitangazia wenyewe kupitia internal memo au vijarida vyao. Sisi wananchi tunachotaka ni amani, usalama wa maisha na mali zetu.
 
Hivi umeombwa usome?
 
Back
Top Bottom