Mabadiliko bonanza la leaders

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040





Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, AFRICAN STARS ENTERTAINMENT tunapenda kutumia fursa hii kuwaomba radhi wapenzi wetu kwa usumbufu wowote utakaojitokeza. Ni kwamba kesho Jumapili kwenye ile "SUNDAY BONANZA" Kiingilio kitakuwa sh 2000/= kwa kila mtu badala ya bure kama ilivyo ada. Tukiwa bado tupo kwenye maongezi na wadhamini wetu wakuu wa Bonanzai, ni matarajio yetu hali itarejea kama kawaida Katika wiki chache zijazo. Karibu usugue kisigino na TWANGA PEPETA.

IMETOLEWA NA UONGOZI WA AFRICAN STARS ENTERTAINMENT
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom