Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,498
Sababu za mabadiliko haya yaliyotangazwa na Naibu waziri wa Elimu Bw. Mulugo! ni hizi zifuatazo: 1. Utata wa wanafunzi kukalishwa shule baada ya kumaliza mitaala ya masomo miezi mitatu kabla ya mtihani;2. Utata wa Ongezeko la gharama za uendeshaji shule kwa kuhudumia wanafunzi miezi mitatu bila kuwa na jambo jipya la kujifunza. Huu ni mzigo kwa Wenye shule, wazazi na serikali.
Wao waliyajua lini haya?? Walipotoa waraka kuwa utakuwa mwezi wa 5 hawakujua hayo? Poor panning produces poor performance and this is equal to DHAIFU and like father like son.....