Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Vitu vya ngano kama chapati, maandazi etc asee bado n changamoto, siku hizi pilau kuna viungo vya dukani jero tuu
 
Nina imani mabachela tuko wengi sana humu.

Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.

Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.

Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?
Choclote
 
Wengi humu Pilau. chapati, nguna hivi kweli hakuna Mchina humu atusaidie jinsi ya kuandaa mapishi ya kupika Kobe!! chatu!! basi hata vyura maisha!! rahisi yale!!! hakika ukionja huachi!! mara ya kwanza watakuficha, utajua baada ya kuvila mwezi mzima.

Kacholi je? wahindi mpo?? NJala Ethiopian food mitaa ya Regeant Estate palee! nyuma ya May fair!! hawapo pia, yaani hivi ni vyakula vya kiafrica kabisa

Ugali ya mchele. muhogo nina hakika hkna anaye weza humu!! na ulivo mtamu unateleza tu hasa ukiwa na kanyama ka kuku mchemsho hivi daaa!! mara huyu umeshiba!
 
Back
Top Bottom