Maazimio ya Mkutano kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Wadau wa Siasa

huu mkutano ni Aibu bora ya waliosusia
naona leo wanafunga mkutano Zitto kaukacha pengne haridhiki na haya maazimio ambayo ni ya kuchekesha
 
Zitto atoe mrejesho, 1) amekubalina na kuhusika na maazimio?
2) .kwa nini hakuwepo maazimio ya kisomwa?
3) au utume wake unakoma kutumika na watawala kwenye kuvuruga nguvu ya upinzani tu.?
 
Zitto si kasema kajitenga kutokana na kuumwa corona.?
 
HAYA NDIYO MAAZIMIO YA MKUTANO WA MSAJILI NA VYAMA VYA SIASA JUU YA HALI...

Katiba mpya ndio dawa ya yote, mengine yote ni kelele tu za kuibeba CCM maiti. Matumizi mabaya ya kodi zetu kwa vikao HARAMU.
 
Vyama michongo - uchaguzi ukifika wanatumiwa na CCM kuwekea vyama vya kweli mapingamizi!! Watanzania wamekwishawaelewa zamani. Huyu Mkangara ndiye alisema uchaguzi wa 2020 ulikuwa poa (kupitia ki-NGO chake)! Labda wachonge wengine. Hawa vinyago wa zamani tunawajua vizuri sana.
 
Aminia kiongozi
 
Msamalia mwema mmoja anisaidie kusamarize madude hayo.
Sina bando la kuangalia video
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom