Maazimio ya kamati ya jumuiya ya madaktari kuhusu tamko la serikali juu ya mgomo wa madaktari

- introduction,
- theme,
- Reverence,
- Comprehensiveness,
- suggestions &
- Conclusion.
 
ndo maana unaambiwa alizaliwa bila kichwa ila hawa hawa madaktari wanaogoma leo wakajitahidi kutengeneza nazi na kumpa km kichwa tukionacho leo
 
ndo maana unaambiwa alizaliwa bila kichwa ila hawa hawa madaktari wanaogoma leo wakajitahidi kutengeneza nazi na kumpa km kichwa tukionacho leo

mama Lwakatare hakukosea aliposema JF ifungwe na serikali
 
wizara ya Afya ni moja ya wizara ngumu na itachukua muda mrefu kwani matatizo ya wizara hii ni kutoka awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu. Kuna wizara ya utumishi wa umma na Fedha zinahusika moja kwa moja na mgogoro wa madaktari sina hakika mchango wa wizara hizo zingine katika kuzuia mgomo wa madaktari.
 
Kama tutaendelea kila mwaka kuitupia lawana Wizara ya Afya peke yake bila Wizara ya utumishi wa umma na wizara ya Fedha hakuna kufika huko tuendako.
 
Acha kuhadaa umma wewe. Mponda ni doctor by profession. Amefanya kazi IHRI na utendaji wake hauna mfano. Fuatilia tafiti zake uone naongelea nini.

acha kukurupukia hoja,mponda siyo doctor bya profession. Ihi alikuwa anahusika mambo ya management. Kuna uzi unazungumzia elimu yake utafute ili ujielimishe,itakusaidia. Research unazosema ni rahisi,kwani anaweza kumwambia mtafiti amwandike kama co-researher ili apate funds. Kwani kuna wangapi wenye phd za research za watu wengine?
 
ndo maana unaambiwa alizaliwa bila kichwa ila hawa hawa madaktari wanaogoma leo wakajitahidi kutengeneza nazi na kumpa km kichwa tukionacho leo

umuhimu wa kufikiri kwa kutumia masaa ya buri unaonekana hapa
 
daktari feki ulimboka anaongoza watu wenye akili timamu wameshindwa kujitambua,hatari sana hii
 
Na nyie msituchoshe! Kama vipi jifukuzisheni kazi kabisa ili tujue hatuna madaktari. Sitaki nataka kibaooooooooo!

Jitu zima hvyoooo wivu tu unakusumbua! Unafikiri hata wakiacha kazi ndo utaajiriwa wewe na hcho ki diploma chako in medicine(CO) ACHA KUCHANGIA KAMA HUNA HOJA IDIOT MWITA
 
daktari feki ulimboka anaongoza watu wenye akili timamu wameshindwa kujitambua,hatari sana hii

Hujui ulisemalo we mbumbumbu! Ungekuwa unajua ulimboka alivyo bright and smart in medicine usingechotwa na upupu wa Bwana Haji mponda. Yeye na wewe ndo sio madaktari. Ulimboka ni Dr wa ukweli. Kwa faida yako na upumbavu wako, nikwambie tu, pia mke wa ulimboka ni Dr. We kilaza endelea kulagaiwa na magamba, mwisho watakupumulia kisogoni stupid u!
 
daktari feki ulimboka anaongoza watu wenye akili timamu wameshindwa kujitambua,hatari sana hii

akili yako feki ndo maana hauelewi hata unachoelekezwa. Ulimboka amesoma muchs na kufanya internship muhimbili wakiwa na kigwangala. Ni mjumbe wa jumuiya ya madaktari hivyo kwenye maslahi yoyote yanayohusu sekta ya afza ni mdau. Ndo maana doctorz hawajapenda kuwahusisha vilaza wa tughe ambao wangeishia kuhongwa na madai kuyeyuka. They are the talented people in their actions.
 
daktari feki ulimboka anaongoza watu wenye akili timamu wameshindwa kujitambua,hatari sana hii

Hujui ulisemalo we mbumbumbu! Ungekuwa unajua ulimboka alivyo bright and smart in medicine usingechotwa na upupu wa Bwana Haji mponda. Yeye na wewe ndo sio madaktari. Ulimboka ni Dr wa ukweli. Kwa faida yako na upumbavu wako, nikwambie tu, pia mke wa ulimboka ni Dr. We kilaza endelea kulagaiwa na magamba, mwisho watakupumulia kisogoni stupid u!
 
Jitu zima hvyoooo wivu tu unakusumbua! Unafikiri hata wakiacha kazi ndo utaajiriwa wewe na hcho ki diploma chako in medicine(CO) ACHA KUCHANGIA KAMA HUNA HOJA IDIOT MWITA

clinical officers wanaumia sana wanapoona class mates wao wanavuka mto huku wao wakifuatana na direction ya mto na lengo likiwa kuvuka mto.
 
Mponda anacheza na afya za watu kwa vile yy anajua ataenda India hafikirii siye tunaotegemea muhimbili,ss tutaendaje kutibiwa,kuchomwa sindano au kufanyiwa operation na dr.aliyekwenye mgomo?si anaweza kukupa dawa za kisukari wakati unaumwa bp?au akakutundukia drip la glucose wakati unakisukari
 
Back
Top Bottom